Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Mbunge wa Simanjiro mh Ole sendeka amesema waliotaka kumuuwa siyo Serikali ya Rais Samia wala CCM Watanzania waelewe hivyo

" Kwani Mimi sina akili eti Serikali ya Rais Samia itake kuniua halafu nisimame mbele yenu niseme CCM oyee?"

Source: Ayo TV

Mlale Unono 😀😀
 
Ujumbe umetufikia Bw Sendeka basi achana na chama kabisa maana kuendelea nacho ni kudhihirisha ile hali unayoikana mbele ya kamera
 
Hilo jamaa minyoo imemzidia anahitaji tiba!! Hakuna jitu la hovyo kama hilo zee... ukikutana nalo mimacho na ulimi inacheza muda wote kama Chatu!! Mtu wa hovyo hana mfano wake....

Asitafute backup apambane kwanza na minyoo yake!
 
Ana impact gani kwa sasa hadi watake kumuua? mpango wake tu huo wa kuvuta attention,.. apuuzwe
 
Yeye ndo majeruhi, yeye ndio polisi, yeye ndio hakimu.....

Basi sawa, itoshe kusema mlengaji hana shabaha
Hamjajua tu janja ya ccm? Hili tukio ni la kutengenezwa! Embu kwanza niulize habari za ripoti ya siii ei jiiii imefikia wapi?
 
Mbunge wa Simanjiro mh Ole sendeka amesema waliotaka kumuuwa siyo Serikali ya Rais Samia wala CCM Watanzania waelewe hivyo

" Kwani Mimi sina akili eti Serikali ya Rais Samia itake kuniua halafu nisimame mbele yenu niseme CCM oyee?"

Source: Ayo TV

Mlale Unono [emoji3][emoji3]
Na utakuwa huna akili kweli umetengeza igizo la kitoto kabisa hili
 
Back
Top Bottom