Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Hekima ....busara....maarifa ya kibinadamu
....pia zingatia kitumbua .....cum mchanga ingia.
 
Upo huru kutowa maoni yako.
 
Picha ya matundu ya risasi kwenye gari. Kuna mwenye nazo?
 
Ulitaka awe na akili kama wale Act mwenyewe kaamua kurahisisha kazi!
 
-Anaugomvi wa muda mrefu na nani?
-Katika zama hizi zisizo na huruma nani aidha vyama gani vinanyemelea ubunge wa eneo hilo?
-Je hakuna mali ya mtu anayoikalia kwa mabavu na kujimilikisha?
-Hawezi kutuma vijana wafanye shambulio feki ili kupata huruma na kutengeneza attention kwa umma?
-SIASA INA MAMBO MENGI SANA.
 
Hili tukio sendeka amelitengeneza,ili kupata kura za huruma 2025.

Jiandae kwenda kuchunga mbuzi 2025.
 
Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.
Kwa mantiki hii ina maana kuna wakati mwingine CCM hushambulia watu ila Sio kwa tukio hili la Ole Sendeka? Je, CCM ina Kikundi cha Kigaidi kinachoshambulia watu? Naita Kikundi cha kigaidi manake najua CCM kama chama hakina jeshi rasmi wala polisiπŸ€”
 
Natabiri, huenda matukio ya namna hii yakatokea baadhi ya sehemu, Naiona zaidi arusha, hasa kwa lema, atajitengenezea matukio mengi sana, kwa wakati ujao!
To be noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…