Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Swali zuri Sana πΌkwani ni nani aliyesema alitaka kuuliwa na CCM?
Wewe ukikoswakoswa hapo Ufipa st unaweza kusema Chadema oyeee? πΌπHuyu kajipiga mtama mwenyewe
Ova
Bila shakaAu Mzee kutengeneza tukio kwasababu Uchaguzi hauko mbali ati.
ππBaba sendeka uliyekoswakoswa ni wewe taarifa ulituletea mwenyewe mbona unatufokea!
Hamjajua tu janja ya ccm? Hili tukio ni la kutengenezwa! Embu kwanza niulize habari za ripoti ya siii ei jiiii imefikia wapi?Yeye ndo majeruhi, yeye ndio polisi, yeye ndio hakimu.....
Basi sawa, itoshe kusema mlengaji hana shabaha
Na utakuwa huna akili kweli umetengeza igizo la kitoto kabisa hiliMbunge wa Simanjiro mh Ole sendeka amesema waliotaka kumuuwa siyo Serikali ya Rais Samia wala CCM Watanzania waelewe hivyo
" Kwani Mimi sina akili eti Serikali ya Rais Samia itake kuniua halafu nisimame mbele yenu niseme CCM oyee?"
Source: Ayo TV
Mlale Unono [emoji3][emoji3]