Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Huyu Sendeka nae ni mzushi na msanii tu anaetafuta millage. Kama kweli alishambuliwa na hajui aliyefanya hivyo, kwann anaconclude kuwa si serikali wala CCM? Atuambie aliyemshambulia ni nani, anataka kuiingilia polisi hisifanye kazi yake?
 
Huyu Profesa Mhongo alituambia kapata Div 0 yaani sifuri kabisaaa
 
Kabisa yaani !
Usishangae hatimaye akiwaangushia CHADEMA zigo. Nchi hii sasa imejaa kila aina ya umafia, toka juu kabisa hadi kwa kina hohehahe tunaowaona humu humu JF siku hizi. Nchi imegeuka kuwa ya kitapeli, uongo mwingi na hadaa chungu nzima.
Hata watu uliodhana hawawezi kuhadaiwa, sasa tunawaona wakihaha kujivua uchafu uliowanasa na kuwaharibia heshima zao nyingi walizokuwa wamejijengea kwa gharama kubwa!
 
Huenda aliratibu mwenyewe Hilo Shambulio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…