Je tumejifunza kwa Odinga? Maaana juzi hapa mtu mmoja alikufa watu wakashangilia sana

Je tumejifunza kwa Odinga? Maaana juzi hapa mtu mmoja alikufa watu wakashangilia sana

Mafunzo ya Udereva

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
620
Reaction score
925
📌Ukitizama kwa umakini maombolezo ya Hayati Raila Odinga unaona kabisa kuna ujumbe unatumwa kwa viongozi wetu wengi wakiwa katika nafasi zao.

📌Kuna mambo unaweza Fanya halafu ukiondoka familia yako itaishi kwa raha sana ila kuna mambo unaweza fanya ukiwa katika uongozi watu wakisikia tu jina la familia yako inakua fedheha kubwa .

📌 Tuache alama chanya katika nafasi ambazo tumeaminiwa na umma ili tukiondoka tukumbukwe kwa mema .

Siku Hizi Marehemu Anasemwa Hata Kwa Mabaya Yake.
 
Back
Top Bottom