Je tunamhitaji Tundu Lissu kwenye siasa za Tanzania au Hatumuhitaji?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa utekelezaji na ukamilifu wa ujenzi wa bwana la Umeme la Julius Nyerere,pia nauzingatia mchango wa Hayati Rais John Magufuli kama mwanzilishi wa utekelezaji wa ndoto za Hayati Baba wa Taifa,Julius Nyerere kuwa Stigglers Gorge Rufiji liwe bwawa la Umeme,Katika uzinduzi wa Bwawa hilo la Umeme,kwa namna ya pekee,nikamuona Mh Freeman Mbowe,Mwenyekiti Mstaafu,Chadema.Hapo ndipo nilipomkumbuka Tundu Lissu na nikajiuliza je tunamhitaji Tundu Lissu katika siasa za Tanzania au hatumuhitaji?

Kwenye siasa , the biggest and the most valuabe assets ni watu, na the biggest liabilities ni viongozi wa hovyo,kwenye assets na liabilities, kunatumia kanuni ya "kibaya chako ni kizuri cha mwenzio" kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa kama uchafu,kwa chungu kwake ni kivuno,Sasa je wewe ndugu msomaji una mawazo gani juu ya Tundu Lissu,Mimi nitatoa mawazo yangu,na mawazo yangu yatabase kwenye uhusiano,undugu na urafiki wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe,kwa miaka mingi awa ndugu wawili wamekuwa pamoja lakini hivi sasa sijui hata kama wanatembeleana,sasa najiuliza kama ndugu yako anayekujua atakuacha kabisa bila kukusaidia,naamini atakuwa amekuchoka.

Pengine amechoka na tabia yako,amekusaidia mara nyingi lakini haukusikia,maana yake Tundu Lissu ana msimamo usioshaurika,je ni vizuri kuwa na msimamo usioshaurika!?? Si vizuri kwa sababu unaweza kushikilia msimamo unaoweza kuleta balaa kwa nchi,ni lazima uwe unasomeka na kushaurika,lazima taifa lijue unapenda nini na unachukia nini,ndipo taifa linaweza kutabiri msimamo wako unaweza kuliokoa taifa au kuliangamiza taifa,shida ya Tundu Lissu kwenye msimamo wake alimchukia Hayati Rais John Magufuli na baadae akamchukia Mh Rais Samia Suluhu Hassan,sasa hauwezi kueleweka unapomchukia kila mtu,ni lazima useme huyu namchukia na huyu nampenda ili watu wajue msimamo wako.

Kwa maoni yangu yakichangiwa na tafakari jadidi hapo juu nachelea kusema Lissu is a very bad liability kwenye uongozi wa pamoja kwa sababu he is not a good team player,Niliwahi kumsikia Tundu Lissu anauliza kama wenzake ndani ya Chadema wana akili!maridhiano aliyaita ujinga,Je, Lissu bado ni Asset or sasa ni a Liability? Moja ya very bad liabilities za Tundu Lissu ni msimamo usioweza kupokea ushauri na kulegeza,pia mdomo wake hauna breki!,sasa maneno yake japo ni liability, ndio the biggest asset kwa kura za GenZii.

Tundu Lissu ni kama Hayati Magufuli kwenye misimamo lakini kwa Hayati Magufuli ungeweza kumsoma na kujua msimamo wake unatokana na nini na nini anataka na unaweza kumshauri na akasikia,hili tuliliona pale alipomteua Mh Bashiru Ally kuwa katibu mkuu wa CCM baada ya kumpigia simu na kusikiliza ushauri wa Daktari Bashiru Ali Kakurwa,Hili ni somo kubwa la uongozi ambalo taifa letu la Tanzania linapitia,Hili ni shamba darasa la Uongozi kwa Taifa la Tanzania,Tuliwahi kuwasikia wadada19 waliofukuzwa Chadema,Mh Freeman Mbowe alitakaga kuwasamehe wale wadada 19, baada ya Chadema kuwatimua,Mh Mbowe akawaita Nairobi,akawabembeleza waombe msamaha, Lissu akagoma lakini leo Halima Mdee amerudi na amekaribishwa na Godbless Lema, Tundu Lissu ni mtu wa vurugu vurugu na ma kashkash,wanasema ni mtundu toka Shule!.

Tulimuona Tundu Lissu alipogombea urais 2020,alileta ushindani wa kweli na sio igizo la uchaguzi! lakini Je Tundu Lissu alionyesha uwezo zaidi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli! kwenye uchaguzi huo wa 2020 !?Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi,Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli,lakini tofauti yao ilikuwa kwenye kusikiliza na kupokea ushauri,Hayati Rais Magufuli alipokea ushauri toka kwa Maaskofu na Mashehe,pia alikuwa ni mwamini hata siku zake za mwisho aliwaita Askofu Mkuu,Kardinali Pengo na Shehe Mkuu wa Tanzania aweze kusema nao na kumuombea,tunaweza kusema kuna watu alikuwa anawaamini na alisikia ushauri wao.

Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli,Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo, ile kauli yake baada ya kifo cha Rais Magufuli,kuwa yule body guard wake mweusi mweusi nae amekufa,ilihali huyo body guard yupo mtaani na siku hizi amekuwa maarufu kama body guard wa Magufuli.

Nimalizie kwa kusema kwamba muda wa CCM kuondoka madarakani kwa sasa bado sana maana hata kwa uchaguzi wa 2030 unaweza kuwaona watu wanaoweza kupeperusha bendera ya CCM na watanzania wakawapokea,nikiwaeleza wachache wapo Waziri Mkuu Mstaafu,Mh Kassim Majaliwa,yupo Makamu wa Rais, Mh Emmanuel Nchimbi,kwenye benchi wapo Mh January Makamba,yupo pia Waziri Mkuu wa sasa,na yupo pia Selemani wa Rufiji,CCM bado ina kikosi kipana cha kuchagua mpeperusha bendera yake,na hii ni kwa sababu ya madhaifu makubwa waliyonayo wapinzani Chadema Act na Cuf lakini CCM wana mipango imara ya kuendelea kukaa madarakani,kwa sababu wana kikosi kipana cha viongozi wa kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Shamba darasa la Uongozi,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the effects of microfinancing on poverty reduction.
 
the gentleman is useless in Tanzania,
huenda mabwenyenye ya magharibi yanayomtumia kama kibaraka wao ndio wanamuhitaji zaidi 🐒
 
Tundu Lissu ni the best ever politician tumebahatika kuwa nae hapa Tanzania.
Ndani ya bunge na hata alivyokua nje ya bunge jinsi anavyojenga hoja na kutetea hoja, kuanzia mambo ya escrow yale, muungano wa Tanganyika na Zanzibar na bunge la katiba.
Huku nje ndio kabisa hii kesi yake ya uhaini na kuamua kujitetea mwenyewe imeonyesha jinsi alivyo smart (genius) .
Kitu pekee Cha kusikitisha ni yupo nchi ya giza , nchi ya wajinga kwasababu tunaongozwa na wajinga Kila sekta .
Rais Leo hii ni samia , katambi, makonda , wanu ni mawaziri .
 
Unatafuta kazi au Teuzi? Ni jibu nikusandie kwa uharaka
 
the gentleman is useless in Tanzania,
huenda mabwenyenye ya magharibi yanayomtumia kama kibaraka wao ndio wanamuhitaji zaidi 🐒
Lissu hatakiwi wanatakiwa wanasiasa aina ya zitto, mbowe, rungwe, cheyo.
 
Back
Top Bottom