gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Wale wazungu njaa, wameikimbia miji yao
www.telegraph.co.uk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Starmer promises communities 'will be safe' after emergency meeting on UK riots
The prime minister says the government is "doing everything we can" to ensure adequate police resources are in place.www.bbc.co.uk
Wazimu wa uingereza wala usikusumbue hiyo nchi inajitambua.
Ndio maana wanaoshiriki maandamano ni watu wasiojitambua wengi wanaishi kwenye benefit with nothing to loose.
Uingereza inaongozwa na watu wenye vichwa, mpaka hayo maandamano yamekuwa hivyo ni serikali imetaka kuachia tu kwa sababu zao.
Huyo ‘Tommy Robinson’ mwenyewe sasa hivi kakimbia yupo Cyprus.Nimekuelewa
Hilo ndio tatizo kwanini hawa kina Tommy Robinson, wasiunganishwe na ugaidi?
Hapo ndio tatizo
Pata picha kwa miongo hii wahindi na weusi waamue kufanya huu ujinga?
Mimi ni mtu mzima Nina akili timamu.Kasoro wewe tu.
I do agree with wholeheartedlyWapo Waislam wastaarabu, wametulia na wanafanya shughuli zao na hawana rabsha kwa watu majirani wanaoishi pamoja nao. LAKINI, LAKINI hawa kobaaz type kha! Always these are trouble makers, Disturbance instigators and what have u.
Hapana, mi si Muislam na nina kampuni yangu nimeajiri wazungu wachache huku nikichangia pia pato la taifa... na wewe hautakiwi huko, ... ni suala la muda tu!
Mfumko wa ummati(population) Duniani, na mdororo wa Uchumi au kufeli kwa Uchumi wa kibepali kwa ujumla wake, TUTASHUHUDIA MAUMIVU MAKALI DUNIA NZIMA! ... labda kwa kulijua hilo binaadam wataweza kulitafutia ufumbuzi, VINGINEVYO ...!
... a black with economic power will be A GOOD TARGET FOR 'SKIN HEADS' HATERS not too far off into the future!Hapana, mi si Muislam na nina kampuni yangu nimeajiri wazungu wachache huku nikichangia pia pato la taifa
Huyo ‘Tommy Robinson’ mwenyewe sasa hivi kakimbia yupo Cyprus.
Hizi nchi za ulaya serikali zao zikitak kuruhusu racism ni swala la kuachia ‘demagogues’ kama Nigel Farage wafanye yao.
Kulikuwa na Nick Griffins kabla yao na movement zake akawa anashinda chaguzi za serikali za mitaa sehemu zilizojaa wahamiaji. Walipoamua inatosha wakamzima.
U.K. ni 82% white waliobaki ndio 18%; sasa kama wanaweza wamudu watu kama Nick Griffins (Oxford educated), watawashindwa wahindi.
Tukisema kule kwenye siasa usalama wa nchi ni mchezo wa watu wenye akili kuna mawili matatu tumejifunza kutoka uingereza.
Ukiona kuna huo upuuzi wa racism wao wenyewe (serikali) wanatambua minimal side affects za watu wa rangi nyingine Iła wapo imara kuzuia serious damage; na mara nyingine wanaacha kuwakumbusha hiyo ni nchi ya wazungu. But they know when to intervene before things spiral out of control.
Hao wadosi awawezi wasumbua wazungu miaka 800, usicheze na siasa za hao watu ndani kwao wamejipanga.
Huyu mbuzi wa BNP hakuzimwa na serikaliKulikuwa na Nick Griffins kabla yao na movement zake akawa anashinda chaguzi za serikali za mitaa sehemu zilizojaa wahamiaji. Walipoamua inatosha wakamzima.
Sorry if I might offend you,What you are envisage, with regards to population quotas as if there is possibility of genoside
Hio haitakaa itokee, ni kama unasema serikali itaamua kujihusisha na hizi harakati za wajinga
Kama ni hivyo, Russia angesha piga tactical nuclear za kutosha Ukraine,
Walishajaribu kudhibiti kwa kisingizio cha terrorism, nani hajui kilichotokea kwa muslim population in UK
Lakini walishindwa, nenda miji ya Dewsbury, Bradford, Leicester, Birmingham, London almost yote kwa sasa wanakimbilia No 10, eneo lolote nje ya hapo ni wanakula kibano cha "ROADMANS"
Hata Manchester walichagua maeneo ya kufanya huo ujinga,
Hakuna cha serikali kuwa wana akili wala nini
Yamefika pomoni, ni aidha genoside huku serikali ikihusika au wakae kwa kutulia, kwa sababu baada ya wageni wazawa kuamka na kuonyesha , they got nothing to loose, huku wakitembea na guns na mapanga, wale wazungu njaa wote wamerudi kwenye mashimo yao council estate
Ndugu ulishana documentary za kumsaka yeye na matajiri waliokuwa wana fund movement yake na serikali ilivyofilisi na kuharibu reputation za hizo biashara.Huyu mbuzi wa BNP hakuzimwa na serikali
Alipotezwa na wananchi
Ni kama France walivyojiaminisha watashinda, lakini kilichofuata, wote wamepoteana
BingwaSiasa za ulaya ni science (be it social science) but still it’s arguments and hypothesis are based on tested and applied theories.
U.K. aindeshwi kijinga kama mada za jamii forums zinazoongozwa kwa hisia za udini.
Wanao ongoza hiyo nchi senior civil servants sio watu ambao raisi anateua na kutengua tu anavyojisikia ni watu waliopikwa kweli kweli na kufikia hizo nafasi ni meritocracy (based on performance appraisal, royalty, intelligence, uelewa wa strategic planning ya eneo husika, level 5 management skills and so forth), sio watu wapuuzi kabisa.
Kama taifa wana standards zao za social coexistence toka walipo ruhusu meli ya kwanza ya wind rush. Wanaelewa pia morality changes overtime and they need to adapt with social needs. They always conduct risk assessment kwenye maamuzi yao weighing pros and cons of national security yao
Overpopulation.
Wazungu masikini ndio wengi, usiseme "ni wazungu masikini tu". Hao ndio wengi, ndio wenye kura nyingi. Unawaitaje "tu" wakati hao ndio wenye nchi?Long-term international migration, provisional - Office for National Statistics
Estimates of UK international migration.www.ons.gov.uk
Hadithi tu soma hizo data zao za Office of National statistics.
Sio nchi rahisi kabisa kwa wahamiaji hasa miji mikubwa.
Hizo opportunity wanazolamimikia wanachukua wageni ni kwamba inabidi ziwe filled somehow to get the economy moving,
Ni wazungu maskini tu ndio wanaolalama for the most part.
Nitakujibu kwa kifupi kwa sababu ni muda wangu wa kulała.Bingwa
Hii yote ni theoretical social engineering
Lakini ukija kwenye practical application, hapo ndio kila kitu kinafeli, Wazungu walisha aanza na hizi mbaambaa za kusema multiculturism ni janga kama kina Enoch Powell na Rivers of Blood Speech enzi za Windrush
Na kilichotokea ni Brixton riots, ndio iliaanza kuwaonyesha wazawa kuwa huo ujinga wa hii nchi yetu umeshapoteza maana, na si muda mrefu ikaja Bradford riots, na hapo ndio wakajua kabisa hapa ni kuanza `hizo social engineering huku wakielewa kurudisha hali iwe kama zamani haitokaa itokee
Narudia kusema tena, Terrorism tumeona jinsi jamii za wageni zilivyowekwa kwenye kitimoto mpaka watoto wakawa wanahojiwa kuhusu mienendo ya wazazi wao, lakini sheria zao wenyewe zimewashinda.
Hao MI6 walipata mwanya wa kuonekana wanafanya kazi ni baada ya 09/11,
Wangapi walikuwa kwenye rendition program leo hii wamerudi UK na fidia juu.
Achana na kina Chowdry na kina Abu Hamza hawa ni walopokaji na ndio huu mfumo wao unapoweza kushinda.
Lakini tukija kwenye maisha ya general population inayojumuisha wageni katika kila nyanja ya maisha ya UK, hapa hata hao kina Farage ambao wanatafuta popularism at any cost, wameshindwa na sasa wameaanza kuadapt.
Nani hajui kuwa kuna majority ya maeneo yenye large population ya wageni na wengi wali vote for Brexit.