Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Wale wazungu njaa, wameikimbia miji yao
www.telegraph.co.uk

Hundreds of Muslims form protective ring around mosque and shops amid EDL march fears

Hundreds of men wearing masks and balaclavas gathered near a McDonald’s after speculation of far-Right demonstration
www.telegraph.co.uk
www.telegraph.co.uk

1722903313114.png
 
Wazimu wa uingereza wala usikusumbue hiyo nchi inajitambua.

Washalamba watu 400 ukiwa convicted na criminal record kupata kazi mtihani. Kama una kazi ukianza kuomba ruhusa ya kwenda mahakamani kama kesi yenyewe ni ya hate chances are kazi yenyewe nayo unafukuzwa.

Ndio maana wanaoshiriki maandamano ni watu wasiojitambua wengi wanaishi kwenye benefit with nothing to loose.

Hao waandamanaji wenyewe nao uwa influenced na mtu au kikundi cha watu (leaders) ambao wana criminal records. Serikali mara tu inawaanzishia past cases au kuwatafutia criminal cases and the whole movement will be dead soon.

Hao wa Pakistan nao serikali ikiamua watamtafuta kiongozi wao akitoa hate speech watu kadhaa wataenda jela, kama wanabishara kesi itakuwa ndefu wapoteze hela kibao kwenye legal fees. Wakitoka hapo hawarudii tena.

Uingereza inaongozwa na watu wenye vichwa, mpaka hayo maandamano yamekuwa hivyo ni serikali imetaka kuachia tu kwa sababu zao.
 
Wazimu wa uingereza wala usikusumbue hiyo nchi inajitambua.

Ndio maana wanaoshiriki maandamano ni watu wasiojitambua wengi wanaishi kwenye benefit with nothing to loose.

Uingereza inaongozwa na watu wenye vichwa, mpaka hayo maandamano yamekuwa hivyo ni serikali imetaka kuachia tu kwa sababu zao.

Nimekuelewa
Hilo ndio tatizo kwanini hawa kina Tommy Robinson, wasiunganishwe na ugaidi?
Hapo ndio tatizo
Pata picha kwa miongo hii wahindi na weusi waamue kufanya huu ujinga?
 
Nimekuelewa
Hilo ndio tatizo kwanini hawa kina Tommy Robinson, wasiunganishwe na ugaidi?
Hapo ndio tatizo
Pata picha kwa miongo hii wahindi na weusi waamue kufanya huu ujinga?
Huyo ‘Tommy Robinson’ mwenyewe sasa hivi kakimbia yupo Cyprus.

Hizi nchi za ulaya serikali zao zikitak kuruhusu racism ni swala la kuachia ‘demagogues’ kama Nigel Farage wafanye yao.

Kulikuwa na Nick Griffins kabla yao na movement zake akawa anashinda chaguzi za serikali za mitaa sehemu zilizojaa wahamiaji. Walipoamua inatosha wakamzima.

U.K. ni 82% white waliobaki ndio 18%; sasa kama wanaweza wamudu watu kama Nick Griffins (Oxford educated), watawashindwa wahindi.

Tukisema kule kwenye siasa usalama wa nchi ni mchezo wa watu wenye akili kuna mawili matatu tumejifunza kutoka uingereza.

Ukiona kuna huo upuuzi wa racism wao wenyewe (serikali) wanatambua minimal side affects za watu wa rangi nyingine Iła wapo imara kuzuia serious damage; na mara nyingine wanaacha kuwakumbusha hiyo ni nchi ya wazungu. But they know when to intervene before things spiral out of control.

Hao wadosi awawezi wasumbua wazungu miaka 800, usicheze na siasa za hao watu ndani kwao wamejipanga.
 
Wapo Waislam wastaarabu, wametulia na wanafanya shughuli zao na hawana rabsha kwa watu majirani wanaoishi pamoja nao. LAKINI, LAKINI hawa kobaaz type kha! Always these are trouble makers, Disturbance instigators and what have u.
I do agree with wholeheartedly
 
... na wewe hautakiwi huko, ... ni suala la muda tu!
Mfumko wa ummati(population) Duniani, na mdororo wa Uchumi au kufeli kwa Uchumi wa kibepali kwa ujumla wake, TUTASHUHUDIA MAUMIVU MAKALI DUNIA NZIMA! ... labda kwa kulijua hilo binaadam wataweza kulitafutia ufumbuzi, VINGINEVYO ...!
Hapana, mi si Muislam na nina kampuni yangu nimeajiri wazungu wachache huku nikichangia pia pato la taifa
 
Mtu yeyote ambae ana tumia imani yake kuwa kebei/Dharau kuona watu wengine wa imani tofauti hawafai automatically mm hua namdharau
 
sababu ya kubishana humu Mimi sijaiona, kwanza WAZUNGU na WAARABU wote ni MBUZI wapuuzi yaaani waafrika tumekuwa kama KONDOO vile tunavowashobokea Hawa watu kwanini tusipende asili yetu na mambo yetu na kuachana na mijadala ya kishenzi namna hiii ,,,,
 
Huyo ‘Tommy Robinson’ mwenyewe sasa hivi kakimbia yupo Cyprus.

Hizi nchi za ulaya serikali zao zikitak kuruhusu racism ni swala la kuachia ‘demagogues’ kama Nigel Farage wafanye yao.

Kulikuwa na Nick Griffins kabla yao na movement zake akawa anashinda chaguzi za serikali za mitaa sehemu zilizojaa wahamiaji. Walipoamua inatosha wakamzima.

U.K. ni 82% white waliobaki ndio 18%; sasa kama wanaweza wamudu watu kama Nick Griffins (Oxford educated), watawashindwa wahindi.

Tukisema kule kwenye siasa usalama wa nchi ni mchezo wa watu wenye akili kuna mawili matatu tumejifunza kutoka uingereza.

Ukiona kuna huo upuuzi wa racism wao wenyewe (serikali) wanatambua minimal side affects za watu wa rangi nyingine Iła wapo imara kuzuia serious damage; na mara nyingine wanaacha kuwakumbusha hiyo ni nchi ya wazungu. But they know when to intervene before things spiral out of control.

Hao wadosi awawezi wasumbua wazungu miaka 800, usicheze na siasa za hao watu ndani kwao wamejipanga.

What you are envisage, with regards to population quotas as if there is possibility of genoside
Hio haitakaa itokee, ni kama unasema serikali itaamua kujihusisha na hizi harakati za wajinga
Kama ni hivyo, Russia angesha piga tactical nuclear za kutosha Ukraine,
Walishajaribu kudhibiti kwa kisingizio cha terrorism, nani hajui kilichotokea kwa muslim population in UK
Lakini walishindwa, nenda miji ya Dewsbury, Bradford, Leicester, Birmingham, London almost yote kwa sasa wanakimbilia No 10, eneo lolote nje ya hapo ni wanakula kibano cha "ROADMANS"
Hata Manchester walichagua maeneo ya kufanya huo ujinga,
Hakuna cha serikali kuwa wana akili wala nini
Yamefika pomoni, ni aidha genoside huku serikali ikihusika au wakae kwa kutulia, kwa sababu baada ya wageni wazawa kuamka na kuonyesha , they got nothing to loose, huku wakitembea na guns na mapanga, wale wazungu njaa wote wamerudi kwenye mashimo yao council estate
 
Kulikuwa na Nick Griffins kabla yao na movement zake akawa anashinda chaguzi za serikali za mitaa sehemu zilizojaa wahamiaji. Walipoamua inatosha wakamzima.
Huyu mbuzi wa BNP hakuzimwa na serikali
Alipotezwa na wananchi
Ni kama France walivyojiaminisha watashinda, lakini kilichofuata, wote wamepoteana
 
What you are envisage, with regards to population quotas as if there is possibility of genoside
Hio haitakaa itokee, ni kama unasema serikali itaamua kujihusisha na hizi harakati za wajinga
Kama ni hivyo, Russia angesha piga tactical nuclear za kutosha Ukraine,
Walishajaribu kudhibiti kwa kisingizio cha terrorism, nani hajui kilichotokea kwa muslim population in UK
Lakini walishindwa, nenda miji ya Dewsbury, Bradford, Leicester, Birmingham, London almost yote kwa sasa wanakimbilia No 10, eneo lolote nje ya hapo ni wanakula kibano cha "ROADMANS"
Hata Manchester walichagua maeneo ya kufanya huo ujinga,
Hakuna cha serikali kuwa wana akili wala nini
Yamefika pomoni, ni aidha genoside huku serikali ikihusika au wakae kwa kutulia, kwa sababu baada ya wageni wazawa kuamka na kuonyesha , they got nothing to loose, huku wakitembea na guns na mapanga, wale wazungu njaa wote wamerudi kwenye mashimo yao council estate
Sorry if I might offend you,

Siasa za ulaya ni science (be it social science) but still it’s arguments and hypothesis are based on tested and applied theories.

U.K. aindeshwi kijinga kama mada za jamii forums zinazoongozwa kwa hisia za udini.

Wanao ongoza hiyo nchi senior civil servants sio watu ambao raisi anateua na kutengua tu anavyojisikia ni watu waliopikwa kweli kweli na kufikia hizo nafasi ni meritocracy (based on performance appraisal, royalty, intelligence, uelewa wa strategic planning ya eneo husika, level 5 management skills and so forth), sio watu wapuuzi kabisa.

Kama taifa wana standards zao za social coexistence toka walipo ruhusu meli ya kwanza ya wind rush. Wanaelewa pia morality changes overtime and they need to adapt with social needs. They always conduct risk assessment kwenye maamuzi yao weighing pros and cons of national security yao.

Ukiwasikiliza top spies wao unajua hiyo sio nchi ya mchezo mchezo. Kwa mfano kuna siku Augustine O’donell former cabinet secretary (katibu mkuu kiongozi) ambae keshakuwa ambassador wa U.K. kwenye UN. Kuna siku alikuwa ana hadithia historia yake akiwa spy mdogo aliwahi tumwa kwenda kutembelea waasi wa Ukraine kabla awajijetenga na Russia kuelewa msimamo.

Changamoto ilikuwa kwanza how to infiltrate hilo group maana wako maporini kupata connection, iłom Julia muda kweli. Pili baada ya kuingia shida ikawa jamaa wenyewe walevi kweli ili uende nao sawa inabidi ulewę huku unasaka info. Kasheshe mnaweza lewa siku nzima lakini as trained spy inabidi upambane mentally usiropoke on wrong world you are dead.

Baadae huyo mtu akaja kuwa katibu mkuu kiongozi, sasa kila katibu mkuu kiongozi akifunguka alivyoanza as a spy story itakuwa ndefu na huyu ndio jsmaa anae endesha nchi technically. Makatibu wakuu wa wizara nao wote ni usalama..

Bado heads of MI5 na MI6 huyo, Damę Stella Rimmington ilibidi amwambie mumewe kaajiriwa usalama wa taifa low rank (asishangae simu za usiku zikija na akitoka) waksti uhalisia keshakuwa head of MI6 miaka zaidi ya 30 mingine nyuma mumewe alikua hajui kama mkewe spy. Na hata wakati ananwambia alijua ni soy wa wakawaida tu wakati tayari nj head of MI6. Mumewe kaja kujua mkewe alikuwa na wadhifa huo baada ya kustaafu.

Sasa hawa ni watu wakusumbuliwa na mipango ya watu wasio na elimu kuivruga nchi hayo.

Michango yenu ya siasa za U.K. ni kujifurahisha tu. Sijui siasa za nchi nyingine lakini uingereza ni nyumbani.
 
Huyu mbuzi wa BNP hakuzimwa na serikali
Alipotezwa na wananchi
Ni kama France walivyojiaminisha watashinda, lakini kilichofuata, wote wamepoteana
Ndugu ulishana documentary za kumsaka yeye na matajiri waliokuwa wana fund movement yake na serikali ilivyofilisi na kuharibu reputation za hizo biashara.

Ninavyokuwq nasema usłana wa taifa ni intelligence sio swala la mzaha.

Sizungumzii mapoyoyo kama Membe au sijui yule fala wa Edinburgh au mafala wa JF humu ambao kweli ni usalama.

Nje ya Tanzania usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenyewe akili kweli kweli.

Sio usalama wa taifa ambao kweli mwajiriwa ila hamna hizo akili. Nchi za ulaya ni only the intelligent people ndio wanaingia kwenye kwenye 18.

Uwezi kuandika ujinga kuhusu siasa za U.K. kutoka kichwani kwako na kudhani that’s how things work. Ku analyse situation or events za siada za UK inabidi kweli uzielewe.
 
Siasa za ulaya ni science (be it social science) but still it’s arguments and hypothesis are based on tested and applied theories.

U.K. aindeshwi kijinga kama mada za jamii forums zinazoongozwa kwa hisia za udini.

Wanao ongoza hiyo nchi senior civil servants sio watu ambao raisi anateua na kutengua tu anavyojisikia ni watu waliopikwa kweli kweli na kufikia hizo nafasi ni meritocracy (based on performance appraisal, royalty, intelligence, uelewa wa strategic planning ya eneo husika, level 5 management skills and so forth), sio watu wapuuzi kabisa.

Kama taifa wana standards zao za social coexistence toka walipo ruhusu meli ya kwanza ya wind rush. Wanaelewa pia morality changes overtime and they need to adapt with social needs. They always conduct risk assessment kwenye maamuzi yao weighing pros and cons of national security yao
Bingwa
Hii yote ni theoretical social engineering
Lakini ukija kwenye practical application, hapo ndio kila kitu kinafeli, Wazungu walisha aanza na hizi mbaambaa za kusema multiculturism ni janga kama kina Enoch Powell na Rivers of Blood Speech enzi za Windrush
Na kilichotokea ni Brixton riots, ndio iliaanza kuwaonyesha wazawa kuwa huo ujinga wa hii nchi yetu umeshapoteza maana, na si muda mrefu ikaja Bradford riots, na hapo ndio wakajua kabisa hapa ni kuanza `hizo social engineering huku wakielewa kurudisha hali iwe kama zamani haitokaa itokee
Narudia kusema tena, Terrorism tumeona jinsi jamii za wageni zilivyowekwa kwenye kitimoto mpaka watoto wakawa wanahojiwa kuhusu mienendo ya wazazi wao, lakini sheria zao wenyewe zimewashinda.

Hao MI6 walipata mwanya wa kuonekana wanafanya kazi ni baada ya 09/11,
Wangapi walikuwa kwenye rendition program leo hii wamerudi UK na fidia juu.
Achana na kina Chowdry na kina Abu Hamza hawa ni walopokaji na ndio huu mfumo wao unapoweza kushinda.

Lakini tukija kwenye maisha ya general population inayojumuisha wageni katika kila nyanja ya maisha ya UK, hapa hata hao kina Farage ambao wanatafuta popularism at any cost, wameshindwa na sasa wameaanza kuadapt.
Nani hajui kuwa kuna majority ya maeneo yenye large population ya wageni na wengi wali vote for Brexit.
 
Hadithi tu soma hizo data zao za Office of National statistics.

Sio nchi rahisi kabisa kwa wahamiaji hasa miji mikubwa.

Hizo opportunity wanazolamimikia wanachukua wageni ni kwamba inabidi ziwe filled somehow to get the economy moving,

Ni wazungu maskini tu ndio wanaolalama for the most part.
Wazungu masikini ndio wengi, usiseme "ni wazungu masikini tu". Hao ndio wengi, ndio wenye kura nyingi. Unawaitaje "tu" wakati hao ndio wenye nchi?
 
Bingwa
Hii yote ni theoretical social engineering
Lakini ukija kwenye practical application, hapo ndio kila kitu kinafeli, Wazungu walisha aanza na hizi mbaambaa za kusema multiculturism ni janga kama kina Enoch Powell na Rivers of Blood Speech enzi za Windrush
Na kilichotokea ni Brixton riots, ndio iliaanza kuwaonyesha wazawa kuwa huo ujinga wa hii nchi yetu umeshapoteza maana, na si muda mrefu ikaja Bradford riots, na hapo ndio wakajua kabisa hapa ni kuanza `hizo social engineering huku wakielewa kurudisha hali iwe kama zamani haitokaa itokee
Narudia kusema tena, Terrorism tumeona jinsi jamii za wageni zilivyowekwa kwenye kitimoto mpaka watoto wakawa wanahojiwa kuhusu mienendo ya wazazi wao, lakini sheria zao wenyewe zimewashinda.

Hao MI6 walipata mwanya wa kuonekana wanafanya kazi ni baada ya 09/11,
Wangapi walikuwa kwenye rendition program leo hii wamerudi UK na fidia juu.
Achana na kina Chowdry na kina Abu Hamza hawa ni walopokaji na ndio huu mfumo wao unapoweza kushinda.

Lakini tukija kwenye maisha ya general population inayojumuisha wageni katika kila nyanja ya maisha ya UK, hapa hata hao kina Farage ambao wanatafuta popularism at any cost, wameshindwa na sasa wameaanza kuadapt.
Nani hajui kuwa kuna majority ya maeneo yenye large population ya wageni na wengi wali vote for Brexit.
Nitakujibu kwa kifupi kwa sababu ni muda wangu wa kulała.

Sijui nchi zingine Iła uingereza sera zake ni priority zao za national security.

Number moja uchumi na maslahi ya jamii kuna maeneo mengi sana ya uchumi ambayo wazawa awapendi kufanya kazi bila ya foreigners hizo sector zina collapse, mfano care work and nursing.

Sasa hivi delivery sector zote za chakula, taxis na support ya digital economy. Bado mashambani msimu wa kuvuna.

Ukienda kwenye professional level kama finance kazi ni luluki na zinalipa vizuri kwenye major cities, then kuna chslllenge costs of living kwenda kuishi huko.

Kwa kifupi what the government understand kulinda uchumi na mtazamo wa raia wasioelimika ni vitu viwili tofauti. Ndio maana serikali Ina elewa why it needs migration na raia awajui why.

Hao hakina Abu Hamza au sijui wahuni wa maeneo ambayo wanatamba kwa sababu race yao ni dominant sio vitu vinavyoinyima usingizi serikali; if anything nationally watu wanaofanya similar crime ni wazungu.
 
Back
Top Bottom