johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Apitie, asipitie, haikuongezei ugali nyumbani kwako. After all hutokaa umfikie Lissu kwa lolote.Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.
Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?
Nia ni njema kabisa.
Ramadhan Kareem!
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.
Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?
Nia ni njema kabisa.
Ramadhan Kareem!
Nani maiti?TL mwache aendelee kupambana na maiti, na bado maiti inamshinda kila siku
Bado unaongelea maiti ya yule mbwa? Give us a break buddy!TL mwache aendelee kupambana na maiti, na bado maiti inamshinda kila siku
Muulize Mwendazake ana majibu yote, ya JKT na Risasi16/38Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.
Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?
Nia ni njema kabisa.
Ramadhan Kareem!
Ndio alipitiaNajaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.
Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?
Nia ni njema kabisa.
Ramadhan Kareem!
Loh, ngoja life, kuna sku Ikulu ingelihamishiwa Chato!Inabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.
Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)
1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
johnthebaptist unaona jitu jizi lililoyafanya kwao? bila ruhusa ya Bunge au mamlaka yoyte ya kisheria. Mungu MkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaInabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.
Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)
1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
MakutuporaAmepitia
Hahahaaaa...... Umeshafura manka!Apitie, asipitie, haikuongezei ugali nyumbani kwako. After all hutokaa umfikie Lissu kwa lolote.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ni jambo jema.
Dr Mwinyi?