Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.

Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea?

Nia ni njema kabisa.

Ramadhan Kareem!
 
Nadhani alipitia.

Mtu ambae sina hakika kama alipitia ni Mbowe.
 
Inabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number moja alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.

Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)

1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
 
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.

Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?

Nia ni njema kabisa.

Ramadhan Kareem!
Apitie, asipitie, haikuongezei ugali nyumbani kwako. After all hutokaa umfikie Lissu kwa lolote.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.

Mh Tundu Lisu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea?

Nia ni njema kabisa.

Ramadhan Kareem!
Ndio alipitia
 
Inabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.

Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)

1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
Loh, ngoja life, kuna sku Ikulu ingelihamishiwa Chato!
 
Inabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.

Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)

1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
johnthebaptist unaona jitu jizi lililoyafanya kwao? bila ruhusa ya Bunge au mamlaka yoyte ya kisheria. Mungu Mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
1618728545627.jpeg
 
Amepitia mkuu

Ntakupa kisa kimoja wakat yupo

jkt mbeya na vuguvugu la mfumo wa siasa wa vyama vingi unaanza jinsi alivyotetea hoja had rpc wa mbeya wakat huo OMAR MAHITA akataka kumkamata na mwl akatoa oda aachwe

Wana dsm hi mvua ya usalama Kweli?
 
Back
Top Bottom