SPANA ZINAWAINGIA SAWASAWAWana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...
Umeandika nini hiki ambacho hakina main theme?Wana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...
Poa jamaa.Haya bwanaView attachment 1594814
Wana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...
Lissu ana akili sana. 1 Lissu = 1,000,000 CCMs!Kuna jambo kubwa linapangwa sirini dhidi ya wapinzani wenye nguvu hasa Tundu A. Lissu...
ccm, tanpol, tume, tiss, serikali, wakurugenzi, msajili wa vyama kwa uchache wanahusika kwenye usiri huo
ila uvccm na meko wanaongoza kuwa na uelewa mdogo hapa dunianiLissu ana uelewa mdogo sana hapa duniani
Ukweli upo kwenye unalo sema ila kazi imefanyika. Jaribu ku andaa orodha ya mapungufu ya kampeni zinazo endeshwa na wagombea wotePoa jamaa.View attachment 1594929
Subiri utaona...Unacho sema wewe ni "Conspiracy thoery". Jaribu ku changanua kwa uhalisia wa sasa hivi