Kinyerezi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2009
- 486
- 149
SPANA ZINAWAINGIA SAWASAWAWana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...