Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu anaendelea na kampeni?

Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu anaendelea na kampeni?

Wana Jamvi,

Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...
SPANA ZINAWAINGIA SAWASAWA
 
Hapa ni Nachingwea, kusini mwa Tanzania. Hawaitaki kabisa takataka iitwayo Meko.
 
Wana Jamvi,

Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...
Umeandika nini hiki ambacho hakina main theme?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza hicho kinachoitwa adhabu aliyopewa na Tume, ni ujinga mtupu. Ndiyo maana hata ile kamati ya mambo ya nchi za nje ya senate kule US, wameiita bogus punishment.

Ile adhabu ni ya kijinga, na walioitoa ni wajinga pia. Ni wachumia tumbo, watu wanafiki, waliohaa roho za kishetani maana kila wanachokifanya kina nia ovu, na uovu ndiyo baba wa ibilisi.

Kama siyo upumbavu, ni nini? Unaenda kumpa adhabu eti unayesema amesema uwongo lakini huthubutu hata kukemea mtu anayefanya kampeni zenye misingi ya ubaguzi wa kikabila na kikanda. Mtu anayetamka wazi mbele ya watu kuwa amekuwa akiwaongoza watu kwa kuwabagua, na akichaguliwa atawabagua watu. Ni kosa linalozidi hili la mtu kuwa mbaguzi na ilihali aliapa kuwa atawaongoza watanzania wote bila ubaguzi?

Kutokana na ubaguzi alionao, kutokana na kuwateka, kuwaua na kuwapoteza watu, nasema yalifanyika makosa makubwa mwaka 2015. Kosa siyo kufanya kosa bali ni kurudia kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa jamaa.
magu.jpeg
 
Wana Jamvi,

Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza ku sinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu...

Usitupotezee muda tuko busy sana, kaa ulivyo wanaojua tunajua hatuhitaji uchambuzi mbuzi hapa we are very busy, subiri 28/10/2020 utaelewa!
 
Kuna jambo kubwa linapangwa sirini dhidi ya wapinzani wenye nguvu hasa Tundu A. Lissu...
ccm, tanpol, tume, tiss, serikali, wakurugenzi, msajili wa vyama kwa uchache wanahusika kwenye usiri huo
Lissu ana akili sana. 1 Lissu = 1,000,000 CCMs!
 
Mbona vijana wa ccm wanazidi kuwehuka namna hii?

Si heri babaako angemwaga nje tu
 
Usitupotezee muda tuko busy sana, kaa ulivyo wanaojua tunajua hatuhitaji uchambuzi mbuzi hapa we are very busy, subiri 28/10/2020 utaelewa!
Uchambuzi ni muhimu sana katika kutu wezesha kufanya maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom