HAFAI! NIULIZE KWA NINI? Nimtu wavisasi japo alikuwa akimsema Magufuli pia ni mtu Asiyekuwa na shukrani yeye MADARAKA KWANZA UTU BAADAE! SISEMI MENGI ILA
Pascal Mayalla Katika uzi nyingi kaelezea mazuri na mapungufu kimsigi naunga hoja maelezo ya ndugu yangu hapa! Msingi ni kwamba Mama wasaidizi wake wamshauri vizuri na nchi itakua kiuchumi bila kuwa na wasiwasi wakuweka magar ya delaya barabarani kama yale juzi yalikuwa kila mahali wakati wa mkutano wa wakuu wanchi wanachama wa SADC! Ilo tu! Mind you siyo kila kitu tuwe na mtizamo sawa!