Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

Watu wetu wengi hawajafikia level ya demokrasia. Mwenye njaa (scarcity) hana demokrasia, haiwezi. Watu wetu wengi bado wanapigania physical needs (hewa safi, maji safi, chakula, nguo na malazi. Tunataka kiongozi anaeijua hiyo. Tunataka kiongozi anaepambana na wizi wa rasilimali zetu zisiibwe kuliko anaepambania demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…