johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema Lissu ni muoga hawezi kurudi nchini.Huko mbali sana
Hakuna uchaguzi mwingine kabla ya 2025; Katiba iko wazi Mkuu.Huko mbali sana
Huyo anatumia katiba ya Chadema ambayo hata nafasi za kukaimu wanafanya uchaguzi!... hakuna uchaguzi mwingine kabla ya 2025; Katiba iko wazi Mkuu.
Nilijiunga na Chadema mwaka 1993 pale kisutu majamatini kwa mzee Ndesamburo.Hivi kwani hairuhusiwi mtanzania kumiliki kadi mbili za vyama tofauti vya siasa?
Baptist unaipenda sana Chadema, hujakaa tu chini ukausikiliza moyo wako, hebu leo tafuta mahali utulie ujiulize hilo suala.
Ukweli mtupuHata hao CCM ni vile tu yanabebwa na NEC
Tofauti na hapo
Linachukiwa sana hilo chama hapa Tanzania
Huyo mwache abakie huko huko! Sidhani kama hao Chadema wataweza kuishi na mtu ambaye muda wote anawaza kumtukuza mwanadamu mwenzake kama Mungu!Hivi kwani hairuhusiwi mtanzania kumiliki kadi mbili za vyama tofauti vya siasa?
Baptist unaipenda sana Chadema, hujakaa tu chini ukausikiliza moyo wako, hebu leo tafuta mahali utulie ujiulize hilo suala.
Huyu bwana ni umaskini tu unamsumbua ndiyo maana anakuwa vileHuyo mwache abakie huko huko! Sidhani kama hao Chadema wataweza kuishi na mtu ambaye muda wote anawaza kumtukuza mwanadamu mwenzake kama Mungu!
2025 Hakuta kuwa na uchaguzi maana katiba itabadilishwa naNajiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema hii hii isiyo na jengo la makao makuu kwa miaka 30?Huyo mwache abakie huko huko! Sidhani kama hao Chadema wataweza kuishi na mtu ambaye muda wote anawaza kumtukuza mwanadamu mwenzake kama Mungu!
Katiba mpya itatoka mbinguni?Hatutoki relini ! Msidivert attention...
Tume huru ni muhimu...
Katiba mpya ni lazima...
Mwisho waelezeni wananchi jiwe yuko wapi!?