Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Mbowe mwenye chama awezikukubali,Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni.
Uchaguzi uliopita hata pesa ya mafuta ya gari Lisu alikua anachangisha jukwaani,sikwambii mabango na vipeperushi alishindwa kuweka.
 
Hivi kwani hairuhusiwi mtanzania kumiliki kadi mbili za vyama tofauti vya siasa?

Baptist unaipenda sana Chadema, hujakaa tu chini ukausikiliza moyo wako, hebu leo tafuta mahali utulie ujiulize hilo suala.
 
Nilijiunga na Chadema mwaka 1993 pale kisutu majamatini kwa mzee Ndesamburo.

Nikagundua wanatumia katiba ya Nccr mageuzi hivyo 1994 nikaenda Nccr bwashee.

Mtei, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani na Tuntemeke Sanga waliunda Chadema kama Club ya mabwanyenye siyo kwa ajili ya siasa za kiuongozi ndio maana hawakuwa na muda wa kutengeneza katiba walicopy na kupaste ile ya Nccr

CCM ni chama bora kabisa cha siasa hata kama kinapungukiwa watu bora.
 
Yaani wanangu 4 wataongezdka kumpa jura, yaani atashinda haat zikiibwa atatoboa mnooo
 
Hivi kwani hairuhusiwi mtanzania kumiliki kadi mbili za vyama tofauti vya siasa?

Baptist unaipenda sana Chadema, hujakaa tu chini ukausikiliza moyo wako, hebu leo tafuta mahali utulie ujiulize hilo suala.
Huyo mwache abakie huko huko! Sidhani kama hao Chadema wataweza kuishi na mtu ambaye muda wote anawaza kumtukuza mwanadamu mwenzake kama Mungu!
 
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
2025 Hakuta kuwa na uchaguzi maana katiba itabadilishwa na
Akina ndugai kwahiyo mawazo uchaguzi futa kabaisa mzee wa lockdown ataapishwa kuwa rais wa maisha.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom