Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu hata akigombea mwaka 3000 hashindi
 
Nilijiunga na Chadema mwaka 1993 pale kisutu majamatini kwa mzee Ndesamburo.

Nikagundua wanatumia katiba ya Nccr mageuzi hivyo 1994 nikaenda Nccr bwashee.

Mtei, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani na Tuntemeke Sanga waliunda Chadema kama Club ya mabwanyenye siyo kwa ajili ya siasa za kiuongozi ndio maana hawakuwa na muda wa kutengeneza katiba walicopy na kupaste ile ya Nccr

CCM ni chama bora kabisa cha siasa hata kama kinapungukiwa watu bora.

Hakuna CCM.

Kuna chama cha Marehemu Magufuli. Sasa kama mwasisi kaondoka, sidhani mwisho mzuri wa CCM.

Ni chama kilichoamini kwenye kutumia mkono wa dola kupata ushawishi. Sina uhakika kama Mama Samia siasa kama hizi ataziweza. Naturally hayuko hivo!

Waliowekeza kwa mwanadamu mtapata wakati mgumu sana!
 
Back
Top Bottom