Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Usitutishe.
 
Watanzania wanafki sana mm nawazoom tu sasa hivi tunajifanya tunaupendo na jiwe lakn siku ikitangazwa jini mkata kamba kapita hilo shangwe lake sio la nchi hii moyon tunamamivu uson tunafraha tatiz ndio linaanzia hapo tofaut na JK alipoenda kufanyiwa upasuaj wa tezi dume
Ok
 
Mlizani mlipokuwa mnazila zila kuhudhuria vikao muhimu vya bunge itawapa credit?ndo kwanza mlikuwa mnajiharibia.watanzania hawakuwatuma muende bungeni muwe mnatorokatoroka vikao vya bunge.Wananchi wanataka siasa za hoja sio kukimbia bunge,na vurugu hamkutumwa hayo na wananchi.Wananchi wamewapa adhani inayoendana na akili zenu,kaeni pembeni kwanza watu wapige kazi.Mbunge wenu mmoja anatosha kabisaa kuwa wakilisha maana the least hamjielewi mlienda bungeni kumuwakilisha Nani.Hamkuwa serious badala ya kuwawakilisha wananchi na changamoto zao,mkaanza kumuwakilisha mbowe na tundu,na magenge yao ya majambazi.Kaeni pembeni ili akili zenu ziwarudie.

Hakuna bunge Tanzania, bali kuna kundi la wahuni wa ccm ndani ya jengo la bunge la Tanzania. Watanzania wa kweli hata kwenye huo uchaguzi wenyewe waliuupuuza. Na kwa taarifa yako ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Unataka umfanyeje? Ni siri ya chama ...
 
Hakuna bunge Tanzania, bali kuna kundi la wahuni wa ccm ndani ya jengo la bunge la Tanzania. Watanzania wa kweli hata kwenye huo uchaguzi wenyewe waliuupuuza. Na kwa taarifa yako ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Chadema ina wabunge 20!
 
Kwa akili yako unadhani magufuli ndo alitoa pesa za vipeperushi na gharama za mafuta ya kuzungukia nchi nzima?
Nyarandu angeweza ku finance kampeni ila Lisu alichemka bwashee.
Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni Mbowe mwenye chama awezi kubali tena kubeba zigo kwa mara ya pili.
 
Ni vile hujui mzuka tulio nao na Lissu mimi ni mdogo Sana na uchumi usio stable Sana lakini nilijitolea diesel Lita zaidi ya 2000 na cash tsh. 3.3 mil. Je wenye hela zao na wana mzuka kama wangu au zaidi watatoa tsh ngapi?

Fikiria matibabu Kenya alikaa zaidi ya 4 months na kila siku kitanda pekee ni more than 2 mil bado matibabu akachukuliwa hadi Belgium akatibiwa muda mrefu Sana wakati huo kafukuzwa ubunge na serikali imegoma kumgharamia unadhani ni nani alitoa?
Labda hujui lakini watu tunaweza uza hadi bata ili kumsapoti.
 
Watu wa CCM Lowasa na Turkey R.I.P ndo walidhamini show.
 
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Acha upuuzi wako tuko kwenye maombolezo
 
Back
Top Bottom