Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Kwangu mimi Lissu hana credibility. Yaani nimemshusha kipindi hiki cha issue ya Magufuli. Yaani anaandika uzushi mtandaoni. Mara Magu yupo Nairobi mara India,wakati Magu yupo hapo Mzena Kijitonyama.
Mfano Angekua baba yako ndio lisu kapigwa Risasi zile ungeupenda utawala huu tuache ushabiki maandaz sema
 
Historia imebadilika sasa hata Doto magufuli kaanza kuchukua chake mapema huko BOT maana amejua mwakani kuna uchaguzi na endapo utaingia utawala mwingine lazima atolewe kafara hapo wizara ya fedha
tatizo la bavicha ,unaweza ukawa ambia tundu lissu,anavaa hereni na wakaamini.
 
Mbowe mwenye chama awezikukubali,Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni.
Uchaguzi uliopita hata pesa ya mafuta ya gari Lisu alikua anachangisha jukwaani,sikwambii mabango na vipeperushi alishindwa kuweka.
Kwa akili yako unadhani magufuli ndo alitoa pesa za vipeperushi na gharama za mafuta ya kuzungukia nchi nzima?
 
Mfano Angekua baba yako ndio lisu kapigwa Risasi zile ungeupenda utawala huu tuache ushabiki maandaz sema
Kusema ukweli sio kushabikia utawala. Binafsi siupendi utawala wa Magufuli katika nyanja nyingi mno. Ila kutomkubali Magufuli hakunifanyi niseme uongo juu yake.
 
Na huko mnakohamishia ,uchumi hakuna!corona imefanya yake.mtarudi tu.Kitonde Cha ww kuhamisha ,unapunguza competition watu wanapiga kazi.acheni uoga pambana.
Pigeni kazi! Fanyeni sasa hamna competition tena faidikeni na soko!
 
Atagombea. Jibu swali usiwe kama upo kilabu cha pale Idodi
Kasome katiba ya JMT utapata jibu bwashee!

CCM ni chama kikubwa chenye hazina ya viongozi miaka 10 unakabidhi kijiti mbio zinaendelea!
 
Sema Lissu ni muoga hawezi kurudi nchini.

Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!
Si hata Agost mlisema harusi, na akarudi kama kawa? Kama atakuja na sifa basi atapeperusha tena bendera Ili dictator uchwara azidi kuwekewa ac Hadi pumbuni, aagh! Kumbe anatakiwa mstaafu ila atanyoooka tu.
 
Sema Lissu ni muoga hawezi kurudi nchini.

Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!

Ujasiri unatoka na nyie mliopo nyuma yake.bora uganda watu wanapaza sauti na wanakufa kwa ajili bobi.huku hata mwenyekiti utakuta kakimbilia twitter kutetea sio nje
 
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa mtazamo wangu mimi nisiefungamana na chama chochote cha siasa Tanzania naamini lissu hatogombea uraisi 2025. Sababu yangu ni hizi tweets anazozituma hivi sasa kuhusu Jiwe. Sio kuhusu alipo au alivyo Jiwe bali ni namna anavyo compose tweets zake nahisi amewaudhi watu wengi wa ccm. As long as ccm wamo madarakani naamini siku Lissu akitia mguu tu Tanzania atashikwa na kubambikizwa kesi na hio ndio itakuwa salama yake lakini wasiojulikana pia huenda wakamtembelea tena. Lissu kwa sasa akae aombe ccm iondoshwe madarakani 2025 halafu ndio ajaribu kuja nyumbani kwa matembezi halafu akitaka agombanie urais 2030!
 
Back
Top Bottom