Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Mbali sana huko na hata wewe unalijua hilo
Historia si unaijua lakini!Marais wanaotokana na chama Cha wananchi ,ccm kwa kawaida wanakaa misimu mingapi!Rudi kwenye historia nadhani ,huo usingizi utakutoka mkuu.
 
Huyu alikuta wabunge 70+ kaacha mmoja, Sasa kukuta 1 ataacha Nini?
Wananchi walichagua wabunge wengi wa chadema na upinzani lakini wakurugenziccm Tumeccm Polisiccm wakawasimika wabunge wa CCM kwa njia haramu za kishetani , moyoni wanajua upinzani ulishinda ingawa machoni mnajidai kushinda
 
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Hata 2020 mlisema kwamba hawezi kurudi lakini mnajua kilichotokea.
 
Tuna Hamisha mitaji wewe anaye jua ana jua tu!
Akili ya kuzaliwa huwezi kuihujumu tambua ilo kwanza!
Utajua ha mjue mda ni mwalimu mzuri!
Na huko mnakohamishia ,uchumi hakuna!corona imefanya yake.mtarudi tu.Kitendo Cha ww kuhamisha ,unapunguza competition watu wanapiga kazi.acheni uoga pambana.
 
Historia si unaijua lakini!Marais wanaotokana na chama Cha wananchi ,ccm kwa kawaida wanakaa misimu mingapi!Rudi kwenye historia nadhani ,huo usingizi utakutoka mkuu.
Historia imebadilika sasa hata Doto magufuli kaanza kuchukua chake mapema huko BOT maana amejua mwakani kuna uchaguzi na endapo utaingia utawala mwingine lazima atolewe kafara hapo wizara ya fedha
 
Sasa kila mtu anaangalia cha kubeba mapema ili mwakani ukija uchaguzi awe na chake Kinondoni ni
 
The great aliyepewa cheo cha kutetea mashoga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the great
Mpaka Sasa huyu mtz mwenzetu tunamashaka nae.maana huwezi pewa cheo,ambacho huwezi kukimudu.tumedhalilishwa Sana na huyu mtz mwenzetu tundu.
 
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Ya Lissu tuyaache; sasa hivi Taifa lipo kwemye taharuku alipo rais wa Jamhuri yetu.. siku ya 18 leo kimyaa!!
 
Kwangu mimi Lissu hana credibility. Yaani nimemshusha kipindi hiki cha issue ya Magufuli. Yaani anaandika uzushi mtandaoni. Mara Magu yupo Nairobi mara India,wakati Magu yupo hapo Mzena Kijitonyama.
 
Sure mkuu lakini atapona
Watanzania wanafki sana mm nawazoom tu sasa hivi tunajifanya tunaupendo na jiwe lakn siku ikitangazwa jini mkata kamba kapita hilo shangwe lake sio la nchi hii moyon tunamamivu uson tunafraha tatiz ndio linaanzia hapo tofaut na JK alipoenda kufanyiwa upasuaj wa tezi dume
 
Back
Top Bottom