Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Porojo zako hizi haziondoi uhuni wa huyo mbelgiji
Uhuni unao wewe binafsi usiyejua kuwa kama siyo Bashite na akina Le mutuz cyprian Musiba kwenda Dodoma kumpiga risasi mda huu asingekuwa huko ubelgiji, bila njama zako za kutaka kumuua hakika Lisu asingekuwa huko alipo sasa
 
Wewe ndiyo debe tupu uhuni wako ndiyo umekukosesha uteuzi, kama Lisu angekuwa hivyo CCM wasingekuwa wanatumia mabilioni kumwangamiza kuanzia kumbambikia kesi, kumpiga risasi mpaka kumpora kura uchakachuaji wa njia haramu za kishetani, wewe huna Ubongo unawezaje kujua debe tupu?
Kwa hichi kichambo huko alipo atakuwa anaugulia maumivu!
 
Anaweza kuwekewa pingamizi kuwa hana makazi Tanzania bali ni mkimbizi anayeshi nje. Kulingana National elections Act, Cap 343 ya mwaka 2010 Section 11-(1)(d), 12-(2), 15-(1) na 15-(5), kuna kila dalili kuwa mwaka 2025 Lissu hatokuwa kwenye dafatri la wapiga kura likishafanyiwa review mbili zinazotakiwa unless apige maneuver kali. Kwa hiyo kutokuwa na sifa za kupiga kura kutamnyima sifa za kuwa mbunge, jambo ambalo litamkosesha sifa ya kuwa rais kwa mujibu wa katiba vifungu 67-(2)(h) na 36-(1)(d).
 
Uhuni unao wewe binafsi usiyejua kuwa kama siyo Bashite na akina Le mutuz cyprian Musiba kwenda Dodoma kumpiga risasi mda huu asingekuwa huko ubelgiji, bila njama zako za kutaka kumuua hakika Lisu asingekuwa huko alipo sasa
Kwahiyo alipokuwa anataka urais angeongoza tz kutokea ubelgiji?
 
chuma kimeyeyuka kama soldering wire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], korona haijawah kudanganya kudadeki.
Mwingulu Nchemba alimshauri waache kutumia barakoa vitakasa mikono na aendelee kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, endapo atakwenda itabidi wananchi kuandamana kwenda nyumbani kwa mwingulu Nchemba kudai alitoa wapi mamlaka ya kuzuia Tanzania kutoa takwimu za watu wanaokufa kwa Corona
 
Anaweza kuwekewa pingamizi kuwa hana makazi Tanzania bali ni mkimbizi anayeshi nje. Kulingana National elections Act, Cap 343 ya mwaka 2010 Section 11-(1)(d), 12-(2), 15-(1) na 15-(5), kuna kila dalili kuwa mwaka 2025 Lissu hatokuwa kwenye dafatri la wapiga kura likishafanyiwa review mbili zinazotakiwa unless apige maneuver kali. Kwa hiyo kutokuwa na sifa za kupiga kura kutamnyima sifa za kuwa mbunge, jambo ambalo litamkosesha sifa ya kuwa rais kwa mujibu wa katiba vifungu 67-(2)(h) na 36-(1)(d).
Jumuia za kimataifa zitapiga kelele endapo CCM watakuja na huo ujinga
 
Bwashee weka kiporo swali lako angalau uliulize 2024. Sasa ni mapema sana. Hujui kama atakuwepo. Yule bwana aliamini atakuwepo 2025 lakini tayari ameisha -RIP!
Hivi kuna uhakika hapo?
 
Lissu anadai Mzee Bakayoko kapata stroke na cov19 na kiuno kimeshake. Ebu thibitisha au ni wivu tu wa Lissu dhidi ya Yesu wa Lugola.
Hata huyo Lugola akiwa Bar mitaani humsengenya magufuli kuliko binadamu yeyote bora hata akila Lisu wao ni kumkosoa kawaida kawaida tu
 
Back
Top Bottom