Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
"Rahisi" yuko wapi? Puuzeni habari za kutokuvaa barakoa, mtaisha huko Lumumba.
 
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kama siyo Tumeccm wakurugenziccm Polisiccm Uhamiajiccm kufanya uchakachuaji mda huu Tundu lisu angekuwa yupo ikulu
 
Lisu ni debe tupu! Hawezi hata kushindana na mwenyekiti wa kijiji akashinda,

Kwa sasa Lisu kaungana na wahuni kuwa mhuni
Samahani mkuu! Eti yule mgombea wenu na aliyemshinda Lissu kwa kishindo, hivi yuko wapi? Sijamuona, wala kumsikia mahali popote pale siku hizi za karibuni!!

Isije ikawa amepotezwa na watu wasio julikana!! Una fununu zozote juu ya alipo?
 
Kwani kwa utaratibu muda huu anatakiwa kuwa wapi?
 
Mataga wanakuja na viThread vya ajabu ajabu ili kututoa kwenye kumuulizia Jiwe alipo!
 
Lisu ni debe tupu! Hawezi hata kushindana na mwenyekiti wa kijiji akashinda,

Kwa sasa Lisu kaungana na wahuni kuwa mhuni
Wewe ndiyo debe tupu uhuni wako ndiyo umekukosesha uteuzi, kama Lisu angekuwa hivyo CCM wasingekuwa wanatumia mabilioni kumwangamiza kuanzia kumbambikia kesi, kumpiga risasi mpaka kumpora kura uchakachuaji wa njia haramu za kishetani, wewe huna Ubongo unawezaje kujua debe tupu?
 
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
2025 mbali sana. TL to become president by 2023.

Mark this post!
 
Hayo ni maneno tu hakuna asiye na haki ya kuishi tamaa mwisho wake mbaya!
Maombi ya watu na vilio vya watu havita kwenda bure!
Kudhuru watu sio njia ya kujipatia maendeleo ni njia ya kujitafutia laana!
Hata kuwatesa wafanyabiashara kuwabambikia kodi, kufunga biashara zao account zao kuwapora pesa zao mali zao kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi utakatishaji fedha navyo ni sehemu ya vilio vinavyoitafuna CCM kwa sasa
 
Wewe ndiyo debe tupu uhuni wako ndiyo umekukosesha uteuzi, kama Lisu angekuwa hivyo CCM wasingekuwa wanatumia mabilioni kumwangamiza kuanzia kumbambikia kesi, kumpiga risasi mpaka kumpora kura uchakachuaji wa njia haramu za kishetani, wewe huna Ubongo unawezaje kujua debe tupu?
Porojo zako hizi haziondoi uhuni wa huyo mbelgiji
 
Back
Top Bottom