Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
yuwapi raisi wetu hayo mengine tutayakuta 2024 sasa hivi tuchape kazi
 
Nataka kununua lile banda la mjane wa Bob Makani pale Ufipa hivyo Chadema mjiandae kuhamia Moshi nyumbani kwa Ndesamburo!
Hili Banda sijui Bei gani itakuwa!
FB_IMG_1615731567655.jpg
 
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa hivi tunafuatilia afya ya Jiwe.Hayo ya uchaguzi ni yako na maFisiem wenzako,waroho wa madaraka!
 
2025 Hakuta kuwa na uchaguzi maana katiba itabadilishwa na
Akina ndugai kwahiyo mawazo uchaguzi futa kabaisa mzee wa lockdown ataapishwa kuwa rais wa maisha.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huyo uliyemtaja atakuwa hai kipindi hicho kweli.

Dalili zinaonyesha waliokudia kumwangamiza kijana mpendwa, wakamnyima pesa ya matibabu na kumfukuza ubunge wanateketea kabisa. Sasa je huyo atakuwepo? Mungu hadhihakiwi.

Watu tunaomba usiku na mchana ili vikwazo viondolewe na njia rahisi ni pamoja na "The World Order".
 
Back
Top Bottom