Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
CCM wameanza kuweweseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi mmpanga ufanyike lini?tundu saivi kwenye ramani kapoteana.hata cdm kwa Sasa washaanza kugundua jamaa anawatoa kwenye ramani mazima.
Hivi hii ni Lockwood ya Tanzania au India?Sema Lisu ni muoga hawezi kurudi nchini.
Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!
Chakubanga amewapa MATAGA woote sharti kuhakikisha wanataja cdm kwenye nyuzi zao ndiyo wapate buku 7.Hivi kwani hairuhusiwi mtanzania kumiliki kadi mbili za vyama tofauti vya siasa?
Baptist unaipenda sana Chadema, hujakaa tu chini ukausikiliza moyo wako, hebu leo tafuta mahali utulie ujiulize hilo suala.
Wengine wataona ni faulo au ujinga, lakini ndivyo sheria ilivyo. Mimi nilipiga kura mwaka 2010, lakini mwaka 2015 sikuwa kwenye daftari kwa vile nilikuwa naishi nje na sikuwa na anuani ya kudumu nchini pamoija na kuwa mimi stambuliku kama mkimbizi; Lissu ni mkimbizi !Jumuia za kimataifa zitapiga kelele endapo CCM watakuja na huo ujinga
CHAMA CHA MACHIMBO.Nilijiunga na Chadema mwaka 1993 pale kisutu majamatini kwa mzee Ndesamburo.
Nikagundua wanatumia katiba ya Nccr mageuzi hivyo 1994 nikaenda Nccr bwashee.
Mtei, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani na Tuntemeke Sanga waliunda Chadema kama Club ya mabwanyenye siyo kwa ajili ya siasa za kiuongozi ndio maana hawakuwa na muda wa kutengeneza katiba walicopy na kupaste ile ya Nccr
CCM ni chama bora kabisa cha siasa hata kama kinapungukiwa watu bora.
Huyu alikuta wabunge 70+ kaacha mmoja, Sasa kukuta 1 ataacha Nini?Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Wana laana nyingi sana! Bila kutubu hawata salimikaHata kuwatesa wafanyabiashara kuwabambikia kodi, kufunga biashara zao account zao kuwapora pesa zao mali zao kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi utakatishaji fedha navyo ni sehemu ya vilio vinavyoitafuna CCM kwa sasa
Mbowe mwenye chama awezikukubali,Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni.
Uchaguzi uliopita hata pesa ya mafuta ya gari Lisu alikua anachangisha jukwaani,sikwambii mabango na vipeperushi alishindwa kuweka.
jipangani upya 2025.Uchaguzi mmpanga ufanyike lini?
Huyu alikuta wabunge 70+ kaacha mmoja, Sasa kukuta 1 ataacha Nini?
lipa Kodi wewe acha kulialia,Kama umeshindwa ku cope na competition si ufunge.Wana laana nyingi sana! Bila kutubu hawata salimika
Mwenyewe ni mjane wa Bob Makani Chadema wanakaa bure!naskia mwenye nalo alitaka kuuza Hilo banda baada ya kuona chadema,wanamzingua kusaini mkataba mpya wa Kodi ya kupangisha.
Mbali sana huko na hata wewe unalijua hilojipangani upya 2025.
Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Duh! Yaani kura za wanao tayari unazipiga wewe halafu tunasema tunapinga u-dikteta!🤭Yaani wanangu 4 wataongezdka kumpa jura, yaani atashinda haat zikiibwa atatoboa mnooo
Mlizani mlipokuwa mnazila zila kuhudhuria vikao muhimu vya bunge itawapa credit?ndo kwanza mlikuwa mnajiharibia.watanzania hawakuwatuma muende bungeni muwe mnatorokatoroka vikao vya bunge.Wananchi wanataka siasa za hoja sio kukimbia bunge,na vurugu hamkutumwa hayo na wananchi.Wananchi wamewapa adhani inayoendana na akili zenu,kaeni pembeni kwanza watu wapige kazi.Mbunge wenu mmoja anatosha kabisaa kuwa wakilisha maana the least hamjielewi mlienda bungeni kumuwakilisha Nani.Hamkuwa serious badala ya kuwawakilisha wananchi na changamoto zao,mkaanza kumuwakilisha mbowe na tundu,na magenge yao ya majambazi.Kaeni pembeni ili akili zenu ziwarudie.Alikuta wabunge yeye mwenyewe akiwa sehemu ya wabunge hao waliopatikana kwenye demokrasia yenye afadhali. Kwa sasa dictator ndio anaamua nani awe mbunge, na dictator ni adui yake mkubwa, ulitegemea nini?
Tuna Hamisha mitaji wewe anaye jua ana jua tu!lipa Kodi wewe acha kulialia,Kama umeshindwa ku cope na competition si ufunge.
Baada ya kumwibia kura ukataka kumbambikia kesi kesi kama kawaida yako ndipo ikabidi aende huko kukwepa uonevu unyanyasaji wakoKwahiyo alipokuwa anataka urais angeongoza tz kutokea ubelgiji?