Nilijiunga na Chadema mwaka 1993 pale kisutu majamatini kwa mzee Ndesamburo.
Nikagundua wanatumia katiba ya Nccr mageuzi hivyo 1994 nikaenda Nccr bwashee.
Mtei, Ndesamburo, Ngaiza, Bob Makani na Tuntemeke Sanga waliunda Chadema kama Club ya mabwanyenye siyo kwa ajili ya siasa za kiuongozi ndio maana hawakuwa na muda wa kutengeneza katiba walicopy na kupaste ile ya Nccr
CCM ni chama bora kabisa cha siasa hata kama kinapungukiwa watu bora.