Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna shida mbona walikutana alipokuwa mgonjwa lissu, mama hana shida naeNi kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali , kwa mfano Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko , akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana mawazo .
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium , tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilisha mikakati .
Swali langu dogo ni hili , Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko ?
Inaweza kuwa kwani naona sehemu ya kamati kuu imeanza kuandaa mazingira ya fairness isiyokuwa kawaida, huenda wanatengeneza njia.Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali , kwa mfano Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko , akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana mawazo .
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium , tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilisha mikakati .
Swali langu dogo ni hili , Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko ?
Ngoja tuone , naona ili kuepusha maswali mengi Magazeti kadhaa yamefunguliwaInaweza kuwa kwani naona sehemu ya kamati kuu imeanza kuandaa mazingira ya fairness isiyokuwa kawaida, huenda wanatengeneza njia.
Hata hiyo naioa kama hatua ya kutokutana na maswali magumu ya BBC, aljazeer na akina ccn huko safarini. Basi ingependeza asafiri mara Kwa mara Kwa ni inaleta fursa ya mabadiliko chanya🤔.Ngoja tuone , naona iki kuepusha maswali mengi Magazeti kadhaa yamefunguliwa
Mwenye shida nae ni jobo dogaiHakuna shida mbona walikutana alipokuwa mgonjwa lissu, mama hana shida nae
Haogopi maswali yoyote bali ni tabia ya huruma tu ya Samia (wazanzibari) kutopenda dhulma na mikiki mikiki isiyo na sababu. Kilichotokea kwa Mbowe ni "bad timing" ya Mbowe tu vinginevyo mama asingekubali kuwekwa ndani.Ngoja tuone , naona iki kuepusha maswali mengi Magazeti kadhaa yamefunguliwa
Mbunge awamu ya mwisho😄😄Mwenye shida nae ni jobo dogai
Anashida Gani na jobo🤔.Mwenye shida nae ni jobo dogai
Haogopi maswali yoyote bali ni tabia ya huruma tu ya Samia (wazanzibari) kutopenda dhulma na mikiki mikiki isiyo na sababu. Kilichotokea kwa Mbowe ni "bad timing" ya Mbowe tu vinginevyo mama asingekubali kuwekwa ndani. Lakini hakuwa na namna nyingine. Mtu mpya kwenye kiti huku kuna majanga lukuki ya kushughulikia then mtu mwingine anakuja na manmade janga la kuanzisha maandamano. Rais yeyote yule angefanya vile ili kutuliza hali. Bad timing.
Safari ya kimkakati.. Mungu ibariki CHADEMA na Chief Hangaya kama atafunuliwa kumtafufa TALNi kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana mawazo.
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilisha mikakati.
Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Kama hana ugomvi na mtu kuna sababu gani ya kumfungulia Mbowe kesi ya kijuha namna ile?Mama Hana ugomvi na mtu Wala
Ni haki yake kukutana nae kabisa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Job na Lukuvi might beg to differ....Haogopi maswali yoyote bali ni tabia ya huruma tu ya Samia (wazanzibari) kutopenda dhulma na mikiki mikiki isiyo na sababu. Kilichotokea kwa Mbowe ni "bad timing" ya Mbowe tu vinginevyo mama asingekubali kuwekwa ndani. Lakini hakuwa na namna nyingine. Mtu mpya kwenye kiti huku kuna majanga lukuki ya kushughulikia then mtu mwingine anakuja na manmade janga la kuanzisha maandamano. Rais yeyote yule angefanya vile ili kutuliza hali. Bad timing.
sio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?Safari ya kimkakati.. Mungu ibariki CHADEMA na Chief Hangaya kama atafunuliwa kumtafufa TAL
Mbona Lukuvi kapewa cheo mkuu😄. Tena cha hishima kuliko uwaziriJob na Lukuvi might beg to differ....
MH Rais Samia hawezi kukutana na wasaliti wa taifaNi kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.
Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Majibu ya swali lako yapo tayari ila hatutayaweka kwenye uzi huusio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?
Hadi unakosa la kupigia keleleNgoja tuone , naona ili kuepusha maswali mengi Magazeti kadhaa yamefunguliwa