Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yetu machoMama alienda mtembelea Lisu nairobi
Upelelezi Gani wakati waliomshambulia ni Makonda kwa kutumwa na marehemu shetani aliyezikwa chato.Kama Maza atahitaji kukutana na Lissu sawa, lakini awe tayari kutoa majibu ya sintofahamu nyingi
1. Shambulio lake kwa nini upelelezi hadi leo haujafanyika
2. Suala la Ugaidi wa Mbowe
3. Usalama wake - kwani anatamani kurudi nchini
4. Suala la katiba mpya
Lissu ajutie makosa gani ?Mama anataka kuendeleza ununuzi wa ndege, ila Lissu anapigia msumari, watakutana kivipi? Ladda Lissu ajute makosa yake na kujirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea pointi sana. Magazeti yamefunguliwa kimkakati. Ziara ya Mama UlayaInaweza kuwa kwani naona sehemu ya kamati kuu imeanza kuandaa mazingira ya fairness isiyokuwa kawaida, huenda wanatengeneza njia.
Yote yanawezekana🤔.Mama kaona akamfate Lissu waongee namna ya kumaliza kesi.
Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
Kwani Lissu ana ugomvi wowote na mama?Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.
Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Ujumbe wako hapa ni upi hasa.Siasa zina mambo mengi. Odinga na Uhuru, from no where walikuja na Handshake.
Ujumbe wangu ni kwamba siasa is complicated. Kuna mengi huwa yanaendelea nyuma ya pazia kuliko unayoyaona. So mtoa mada kuuliza kama Lissu anaweza kukutana na Suluhu, jibu ni kwamba it is very possible.Ujumbe wako hapa ni upi hasa.
Lakini ccm wanaomba Raisi akutane na lisu siyo lisu akutane na raisiAkikutana naye au asikutane naye hakuna mwenye shida naye, rais ni taasisi kubwa sana kuliko Tundu Lissu!
Issue ya ngorongoro imemchanganya mama, anaenda kuomba tuition kea lisuUjumbe wangu ni kwamba siasa is complicated. Kuna mengi huwa yanaendelea nyuma ya pazia kuliko unayoyaona. So mtoa mada kuuliza kama Lissu anaweza kukutana na Suluhu, jibu ni kwamba it is very possible.
Tundu Kama Tundu Hana Tatizo. Sema wanamuogopa wao wenyewe.Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.
Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.
Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Hadi unakosa la kupigia kelele
USS