Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

Kama Maza atahitaji kukutana na Lissu sawa, lakini awe tayari kutoa majibu ya sintofahamu nyingi
1. Shambulio lake kwa nini upelelezi hadi leo haujafanyika
2. Suala la Ugaidi wa Mbowe
3. Usalama wake - kwani anatamani kurudi nchini
4. Suala la katiba mpya
Upelelezi Gani wakati waliomshambulia ni Makonda kwa kutumwa na marehemu shetani aliyezikwa chato.

Nimefurahi sana magazeti pendwa kufunguliwa. Duh jamani tulikuwa jehanum

Marehemu aongezewe moto mwingi huko aliko.
 
Itakua vyema Lisu akiomba kukutana na Raisi, inaweza kuwa moja ya hatua ya kesho nzuri ya Mwamba Mbowe
 
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.

Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.

Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Kwani Lissu ana ugomvi wowote na mama?
 
Ujumbe wako hapa ni upi hasa.
Ujumbe wangu ni kwamba siasa is complicated. Kuna mengi huwa yanaendelea nyuma ya pazia kuliko unayoyaona. So mtoa mada kuuliza kama Lissu anaweza kukutana na Suluhu, jibu ni kwamba it is very possible.
 
Issue ya ngorongoro imemchanganya mama, anaenda kuomba tuition kea lisu
 
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.

Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.

Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Tundu Kama Tundu Hana Tatizo. Sema wanamuogopa wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom