Pre GE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

Pre GE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani

Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti?

Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
 
Mungu akisema ndio, hamna wa kupinga
 
Naona anguko la CHADEMA , lissu akikosa uenyekiti wanachama wengi hatutowaamini tena
 
Lisu aende CHAUMA au aanzishe chama chake kule chadema mbowe hata achia kwa nilicho kiona. Mimi sina chama lakini kidogo matumini ya wananchi tuojitambua yamebaki kwa Tundu lisu tu.

Mimi nilisanuka ile siku ya maandamano nyumbani kwa lisu kulikuwa kumezingirwa na hakuweza hata kutoka.
Lakini mbowe yeye aliachwa hadi akatoka na akiwa njiani ndo akakamatwa,Jana tumeona wenyewe mbowe anadai wanachama wameenda kwakwe kumlazimisha angombee muda huo kaandaa viti na tents na kama ahitoshi akakodi na mziki
 
Back
Top Bottom