Lisu aende CHAUMA au aanzishe chama chake kule chadema mbowe hata achia kwa nilicho kiona. Mimi sina chama lakini kidogo matumini ya wananchi tuojitambua yamebaki kwa Tundu lisu tu.
Mimi nilisanuka ile siku ya maandamano nyumbani kwa lisu kulikuwa kumezingirwa na hakuweza hata kutoka.
Lakini mbowe yeye aliachwa hadi akatoka na akiwa njiani ndo akakamatwa,Jana tumeona wenyewe mbowe anadai wanachama wameenda kwakwe kumlazimisha angombee muda huo kaandaa viti na tents na kama ahitoshi akakodi na mziki