Kwa hivyo Mbowe kafanya kosa sana kumuonea Huruma Lissu kipindi kile angalimuacha tu aaangamie? Unaakili kweli?
Ubinadamu ni kumpa uongozi mtu mwenye uwezo na sifa sahihi ili akifikishe chama kwenye mafanikio ya juu (Ikulu).Mtu 1 kati ya milioni 50 hawezi kuogopwa, hapa kinachozungumzwa ubinadam
Kasimamia nani?
Wakati mbowe ana kesi , Lissu alikuwa ubelgji, weka picha moja lissu yupo mahakamani..Mbowe alimpigania Lissu aliposhambuliwa.
..Lissu alimpigania Mbowe alipokuwa na kesi ya ugaidi.
..Mbowe anampinga Lissu kwenye uchaguzi wa mwenyekiti.
..Lissu anampinga Mbowe kwenye uchaguzi wa mwenyekiti.
..wamepishana kimtizamo, hiyo ni kawaida ktk siasa.
Haifanani kabisa. Lissu alitaka kuuliwa sio kupiga Sindano na kutoa panadolUnataka kwa mfano raisi aanze kuteua watu kwa kulipa fadhila na siyo sifa?
Mfano amteue nesi mmoja kuwa waziri wa afya sababu alimuudumia vizuri mjukuu wake?
Ateue mmjomba wake aliye msaidia kumlipia ada katibu mkuu kiongozi au mkuuu wa majeshi wakati hawana sifa za nafasi hizo?
Mwenye akili naomba unijibu.
Wakati mbowe ana kesi , Lissu alikuwa ubelgji, weka picha moja lissu yupo mahakamani
Hoja zinahitaji ushahidi usio na shaka, yofauti na ya hospital ya Nairobi..Lissu aliongoza kampeni nje ya nchi iliyopelekea nchi wahisani kuweka shinikizo kesi dhidi ya Mbowe iondolewe.