TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.
Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua Paulo anajua Code nyingi sana za nchi,jasiri sio mwoga na mchapakazi ndio maana mzee alimweka karibu sana naomba apewe mda na nafasi atastaajabisha wengi.
Tusisahau maisha yanaenda kasi sana,wa juu anaweza kushuka chini na aliyeshushwa anaweza kuinuliwa.Mungu wetu ni mwema siku zote.
Chonde chonde mama nipo chini ya miguu yako tunamuitaji Paulo, turudishie Paulo hata vijana wa Dar wamemmiss sana.