Kallenge Nelson
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 113
- 83
Habari wakuu,
Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na Rais wetu JPM, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi.
Wale wenye jicho la tatu hebu njooni tuliangalie hili.