Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Watabiri wa jf uwa mnapuuzwa kwa kejeli lakini mwisho wa siku mikeka yenu ikitiki,utasikia"mkuu uliona mbali"na like za kumwaga.
Mtabiri pekee ambae mpk sasa jf imebarikiwa kuwa nae ni "Tumia akili ".
 
Zamani hivi nilikuwa wanasema “usimpe urais wa nchi Msukuma, Mchagga, Mnyakyusa, Mhaya na kabila la 5 sijui lipi

Sasa baada ya Msukuma wote tumeona
 
Refa kaondoka uwanjani .unazani uyu bwana ata pata ata penalty .

Nafikiri hamna jinsi tena kwani huyu ana misiba miwili, 1- kafiwa na mentor wake 2- msiba wa pili anajua kaharibu sana ndani ya chama hivyo hana rafiki atakayembeba tena kama marehemu aliyekuwa anafumba macho kila pale alipofanya fuckup za wazi
 
Kwani haujui anamahusiano na mama pia?
 
Jamaa mjanja Sana , kuna wakat mweshimiwa alizidiwa Sana ilikuwa huko mtwara , jamaa akastuka ikabd aachie ofsi ...... Mana alijua jamaa anaweza kata Moto akiwa ofsin sasa ingekuwa noma kweli kweli , akatulia zake kama haoni vile
 
Habari wakuu

Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na Rais wetu JPM, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi

Wale wenye jicho la tatu hebu njooni tuliangalie hili
Nini kinakufanya uweze hivyo? Kama ni system ilimtoa kwani nayo haipo
 
Back
Top Bottom