Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.

Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua Paulo anajua Code nyingi sana za nchi,jasiri sio mwoga na mchapakazi ndio maana mzee alimweka karibu sana naomba apewe mda na nafasi atastaajabisha wengi.

Tusisahau maisha yanaenda kasi sana,wa juu anaweza kushuka chini na aliyeshushwa anaweza kuinuliwa.Mungu wetu ni mwema siku zote.

Chonde chonde mama nipo chini ya miguu yako tunamuitaji Paulo, turudishie Paulo hata vijana wa Dar wamemmiss sana.
 
Safari hii hakuna cha kanda ya ziwa
hata Yusuf alisahaulika alipotupwa, baada ya kutupwa na nduguze kisimani lakini baadaye alikuja kuwa Waziri mkuu wa Misri.

Tusisahau kwamba maisha yanaenda kasi sana wa jana sio wa leo.
 
Makonda hafai, Mwizi, Jambazi, Muaji, akitaka kuharibu taswira yake mapema ambatane na Makonda, Mwigulu, Mzee wa majalalani
Wee haujui siasa kwamba ni mchezo mchafu watu wanaweza kukuchafua ukaonekana mwizi sababu ya uchapaji kazi wako .??
 
Back
Top Bottom