TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Safari hii hakuna cha kanda ya ziwaSidhani kama Mama Samia atakuwa na akili kama za mtangulizi wake za kuwaendekeza wanafiki, wachumia tumbo na waimba mapambio kama huyo Daudi Albert Bashite a.k.a Paul Makonda.
Na wajiandae tu kwa matokeo. Haitokuja itokee tena Rais kutokea Kanda hiyo. Huyu aliyepita amewaharibia sana kwa kweli.Safari hii hakuna cha kanda ya ziwa
Aisee tumejifunza kutokana na makosaNa wajiandae tu kwa matokeo. Haitokuja itokee tena Rais kutokea Kanda hiyo. Huyu aliyepita amewaharibia sana kwa kweli.
hata Yusuf alisahaulika alipotupwa, baada ya kutupwa na nduguze kisimani lakini baadaye alikuja kuwa Waziri mkuu wa Misri.Safari hii hakuna cha kanda ya ziwa
Siyo kwa huyu mama maana amejawa na utu na ubinadamu haswahata Yusuf alisahaulika alipotupwa, baada ya kutupwa na nduguze kisimani lakini baadaye alikuja kuwa Waziri mkuu wa Misri.
Tusisahau kwamba maisha yanaenda kasi sana wa jana sio wa leo.
hawakawii watu wa humu kusema mm ndio Paulo ππππWatasema wewe ndio Paulo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]hawakawii watu wa humu kusema mm ndio Paulo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee haujui siasa kwamba ni mchezo mchafu watu wanaweza kukuchafua ukaonekana mwizi sababu ya uchapaji kazi wako .??Makonda hafai, Mwizi, Jambazi, Muaji, akitaka kuharibu taswira yake mapema ambatane na Makonda, Mwigulu, Mzee wa majalalani
That gonna be a terrible mistake. Kama wanampenda sana apewe kazi isiyo ya Ku deal na jamii directly.Sidhani kama Mama Samia atakuwa na akili kama za mtangulizi wake za kuwaendekeza wanafiki, wachumia tumbo na waimba mapambio kama huyo Daudi Albert Bashite a.k.a Paul Makonda.