Kallenge Nelson
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 113
- 83
Wewe uliyeandika hizi pumba una jicho la ngapi?Habari wakuu
Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na rais wetu Jpm, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi. Wale wenye jicho la tatu ebu njooni tliangalie hili
Kwa hiyo umetumia jicho lako la tatu kuwaza hivi?Wale wenye jicho la tatu hebu njooni tuliangalie hili.
jicho moja analo bhna la kuendea chooni..😁Ww uliyeandika hizi pumba una jicho la ngapi?
Unaweza kuta, hata hilo moja hauna!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuumia kwa refa sio mwisho wa dakika 90 mkuu. Refa waziada anakuwepo, fuatilia Mech ya Simba na wasudani ilitakiwa ichezeshwe na refa mmojaja hivi akakutwa na covd19 lakini Mechi haikuailishwa.Refa kaondoka uwanjani .unazani uyu bwana ata pata ata penalty .
Maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi.Habari wakuu
Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na rais wetu Jpm, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi. Wale wenye jicho la tatu ebu njooni tliangalie hili
Sindio ivo mwamba unakuta mtu achuki zake binafsi anakuja kukosoa kishabikiWatabiri wa jf uwa mnapuuzwa kwa kejeli lakini mwisho wa siku mikeka yenu ikitiki,utasikia"mkuu uliona mbali"na like za kumwaga.
hana hata jicho! Duuuuh!Blind person!Ww uliyeandika hizi pumba una jicho la ngapi?
Unaweza kuta, hata hilo moja hauna!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Makonda na Mama walikuwa vizuri muda mrefu.Habari wakuu
Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na Rais wetu JPM, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi
Wale wenye jicho la tatu hebu njooni tuliangalie hili
Wengine Hilo hawajuiMakonda na Mama walikuwa vizuri muda mrefu.
Alimpigia debe u VP.
Mama hatamsahau.
Inasemekana alikua nje kuongeza elimu.Hivi kwanini amepiga Salute?! Isije kuwa alimpeleka jeshi au usalama baada ya kumtoa ukuu wa mkoa [emoji849]