Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

😂😂 kwanini asifanye biashara zake kwanini siasa ndiyo maisha pekee tuache upuuzi
 
Nimesema hapo kuwa HAKUNA asiye na mapungufu. Makonda bado ni kiongozi mzuri, uzuri wa kiongozi sio kuongea taratibu Bali ni kutekeleza na kuleta Maendeleo kwa watu
Hebu tuache hili jambo. Naona humjui Makonda
 
Hafai hata kuwa mwenyekiti wa nyumba 10😀😀😀 akae benchi watu tutengeneze nchi yetu...
 
Ni huyu huyu Makonda aliewaliza wafanyabiashara kwa kuchukua mali zao bila kulipa kisa mkuu wa mkoa.
 
Uyo hafai hata kidogo,atamuharibia mama
 
Subiri utaelewa tu mwisho wa siku
Kakutuma naonaa unajitahidi sana hata aibu huoni.....akae benchi kwa sasa viongozi wameshachaguliwa tayari hata ubunge wa kupewa hajapewa....
 
Hivi una elewa maana ya Field Marshall "?
 
Kijana aliye na maisha ya raha kuliko vijana wote nchini....
Alijisahau saana akajiona na yeye ni mtawala!! Alichomfanyia kada mwenzake Nape si cha kiuungwana kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…