Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Mhhh huyu alijiona alijisikia mno hukusikia mama alikwambia hataki watu wa mabega juu?...huyu alikuwa na msururu wa projects na hazimalizi Mara Dar mpya,Mara kufurusha ombaomba....embu taja moja ilokamilika...mjivuni anajisikia dharau mpenda kick zote zake...wendazao Samwel Sita na Mzee Makufuli walikuwa wanampambania sana sasa they are no more...sijui itakuwaje vinginevyo kwakweli kwake ndio imeisha hiyo ila ya Mungu mengi anaweza akapata kisima jangwani who knows..
 
Mh rais akitaka aharibu katika uongozi wake,amteue Bashite popote.mtu Marekani washammulika kua anadhulumu haki za watu kuishi(muuaji) uje umpe kitengo si serikali yote itaonekana inanuka damu za watu!!!.Bashite hafai popote kashajiaribia
 
Tanzania ins raia zaidi ya 60 miles why only Makonda acheni izuzu
..
 
Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni. Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako. Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
Hatutaki viongozi majinuni.

Mtu yeyote anayesema "mnaijua vii eiitiii?" Au "Mimi na enjoi maishakuliko mtu yeyote" ni mpumbavu limbukeni majinuni na hafai kuwa kiongozi.
 
Kwanza yuko wapi? Kama hana kaz ahame mji wetu yeye alituambia Kama hatuna kaz ya kufanya tuhame

Naagiza mgambo wa jiji wamsake huyu bashite arudishwe koromije haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena asakwe POPOTE alipo ikibidi watumie [emoji240] ili anase Yuko wapi?
 
Huyo mjamaa aliyeleta hz pumba humu hv haon hata aibu maana mpk dk hii hakuna mtu hata mmoja aliyemuunga mkono wote wanamnyea tu bashte hata mataga nao siwaoni wakmtetea
 
Hatutaki viongozi majinuni.

Mtu yeyote anayesema "mnaijua vii eiitiii?" Au "Mimi na enjoi maishakuliko mtu yeyote" ni mpumbavu limbukeni majinuni na hafai kuwa kiongozi.
Heloooo
 
Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni. Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako. Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
Muuaji hata angekuwa na mazuri 100 lakini kitendo cha kutoa uhai wa binadamu mwenzake hakikubaliki duniani wala Mbinguni.
 
Mwizi wa Vyeti?...,,mjivuni?...,Alipokuwa RC wa Dar....,alijiona baada ya Raisi anafuata yeye....,Mwajiri kuchunga mbuzi zako
Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni. Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako. Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
 
Yaani Makonda kabisa???
Mnapo andika hivi vitu mna kuwa mmetumwa au mna kuwa mmevuta bangi?
Mnamjua Makonda na makando kando yake au mnamjua kwa sura yake?
Hebu tafuteni mada za kuweka hapa na muachane na wafu wazikwe waliko fia.
Hao mataga washavurugwa ndiyo maana hata hawatumii akili
 
Kama umetumwa ishia hapo hapo, hivi Tanzania tumelogwa na nani jamani, mtu kavamia kituo cha redio tena cha washikaji zake, sembuse mimi na wewe pelekeni ujinga wenu na njaa zenu SUKUMA GANG.
Umetisha sana mkuu@bona bana
 
Acha upumbavu dogo! Hivi huwezi ishi bila vyeo vya uteuzi??? Embu sambaza cv kwenye makampuni na mashirika kutafuta ajira huko
Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni. Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako. Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
 
Makonda anafaa sana kuna mengi kajifunza kama mwanadamu,akipewa nafasi anawezackumudu.
 
Back
Top Bottom