hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Maji ya chupa hadi semina au usimamizi wa mitihaniWapo wanaofurahia kazi ya ualimu ila kwa wanaofuata maslahi lazima uichukie hio kazi maana hamna utakachokipata zaidi ya kuishi umri mrefu tu sababu ya kula vyakula vya asili na kufanya mazoezi ya baiskeli na kusimama muda mrefu kila siku.
Ualimu pekee hautakupa uwezo wa kula junk foods kama chips mayai na broiler wa kukaanga😁! We ni mwendo wa viazi vya kuchemsha, ugali,tembele, mchicha na dagaa. Karanga kwa mbali pamoja na maji mengi tu.