Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Tunayoyaandika yanaakisi tunayowaza ila sivyo ndivyo tulivyo.....mi kama mimi ni kama mange, mange ukimsoma anaandika migazetiii ila ikija kwenye kuongea hawezi ndivyo hivo nilivyo, kwenye kuandika nauperepetaaa ila kuongea sasa Es sio muongeaji mie.
Na kupenda sana mtanange?🀣 Unamaanisha au ni utani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…