Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Tunayoyaandika yanaakisi tunayowaza ila sivyo ndivyo tulivyo.....mi kama mimi ni kama mange, mange ukimsoma anaandika migazetiii ila ikija kwenye kuongea hawezi ndivyo hivo nilivyo, kwenye kuandika nauperepetaaa ila kuongea sasa Es sio muongeaji mie
Why unadanganya mjomba?

Naomba wajue tu wewe ni mwanamke mkorofiiiii 😅 ili wakifika huko wasipishane na maneno yangu
 
Why unadanganya mjomba?

Naomba wajue tu wewe ni mwanamke mkorofiiiii 😅 ili wakifika huko wasipishane na maneno yangu
Mimi sio mkorofi kabisa mie huwa ni falah, hivi ushawahi pigana na mtu ukapigwa halafu baada ya ugomvi unajiuliza kwanini sikupiga kichwa? Kwanini sikurusha teke la kangaroo???kwanini nyingi.... Ngumu kuamini ila ndio hivyo ndivyo nilivyo nshajaribu kujiadjust kuseek hata ushauri kwa watu bado sijaweza kushift possible niliumbwa hivi....ila sipendi
 
Kama ni hivyo basi inapendeza na nina amini asilimia kubwa JF wako hivyo,
Kwa ajili ya kujifurahisha n.k
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.

Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua we ninani.

Kila member huwa ana hoja zake anazoweka katika majukwaa..

Wengine huweka hoja zao siasa, wengine hoja na mchanganyiko..

Kuna wanoweka hoja zao kidini yaani ukiingia huko ni yeye..

Njoo kwa mahusiano na mapenzi huko nako kuna watu huko..

Sasa kuna wale wa chit chat huko nao utawakuta wanajifurahisha zao...

Kifupi katika kupita huko lazima utamjua member yupi na anatabia Gani..

Tuambie uandishi wa member unaweza mjua tabia yake...

Tuambie member nani na anatabia ipi...

Kivumbi kinatimka
Pendekezo langu kwa wadau naomba tuanze na wewe, (charity begins at home) nyota njema huanza nyumbani
 
Back
Top Bottom