Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Ndio na hapana.

vitu anavoviandika mtu humu vinaonesha anavyoelewa mambo tofauti tofauti, lakini tabia halisi ya mtu kuijua ni mpaka uishi nae.... kuna vitu vingi sana watu hawawezi kuviandika humu, ni mpaka uzoeane na mtu aanze kukuamini ndo utamjua vizuri
 
Mimi naanza na To yeye,huyu ukimsoma hapa utasema ni Dada mmoja machachari sana ila kiuhalisia nahisi ni mtu mmoja mtaratibu sana,sio muongeaji sana,so hapa jf ndio sehemu ambayo anajiachia bila aibu wala kumuhofia mtu.
mvunja barafu ni mbabe jf ila kiuhalisia ni mpare mfupi mwenye kitambi
 
Back
Top Bottom