Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sijui kafia wapiNikikumbuka nondo na madini ya ONTARIO huwa na amini JamiiForums ni zaidi ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kafia wapiNikikumbuka nondo na madini ya ONTARIO huwa na amini JamiiForums ni zaidi ya dunia.
Binti chuga Depal habari yakoKama wewe hapo umebold maandishi, mtaani huko inaonyesha utakuwa unapenda sana kufokea watu. Asbh mpk usiku we ni kufoka tu 🤣🤣🤣
Nikajua, ushapanda madhabahuni
HakikaWengine hapa ndo wanamalizia hasira na kujidai waongeaji na wakorofi ila mtaani wakimya
😂😂😂😂🙊Nitavunja kufuri kwa nyundo
Yeah,inategemeanaInaweza kuwa kweli au sikweli
Utumishi upiAmina [emoji120]
Wewe wa mchongoSisi tunaomtumikia Bwana tukisikia unaitwa Mtumishi tunajua...
Wewe huwezi jua
Ni wivu tu 😆😂Kama wewe hapo umebold maandishi, mtaani huko inaonyesha utakuwa unapenda sana kufokea watu. Asbh mpk usiku we ni kufoka tu 🤣🤣🤣
Una matusi mengi wewe mkuu, kwa hio unawaona watakatifu kumbe wanapumuliwa visogoni?Sema hapa umenena pia...unaweza muona mtakatifu kumbe m$enge tu...wengi hujificha humo
Hivi huyo kwenye avatar ndio wewe?Ni wivu tu 😆😂
Aah sijui nimekuwa addicted au ndio nilivyozoea
Hapana.Habari wakuu,
Husika na kichwa tajwa,
Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.
Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua we ninani.
Kila member huwa ana hoja zake anazoweka katika majukwaa..
Wengine huweka hoja zao siasa, wengine hoja na mchanganyiko..
Kuna wanoweka hoja zao kidini yaani ukiingia huko ni yeye..
Njoo kwa mahusiano na mapenzi huko nako kuna watu huko..
Sasa kuna wale wa chit chat huko nao utawakuta wanajifurahisha zao...
Kifupi katika kupita huko lazima utamjua member yupi na anatabia Gani..
Tuambie uandishi wa member unaweza mjua tabia yake...
Tuambie member nani na anatabia ipi...
Kivumbi kinatimka