Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
NdioHivi huyo kwenye avatar ndio wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHivi huyo kwenye avatar ndio wewe?
Kumbe wake zetu ni Watumishi eeeh.Sisi tunaomtumikia Bwana tukisikia unaitwa Mtumishi tunajua...
Wewe huwezi jua
Duh noma sana,Ndio
Mtumishi wa Bwana na wanaomtumikia Bwana Mtumishi, ushaelewa vizuri?Kumbe wake zetu ni Watumishi eeeh.
Ndio Mana wanadai malipo.
Na Mimi nna tabia gan?Hii iko dhahiri haina ubishi, kila member anajulikana tabia zake kwa uandishi wake humu hata kama una like tu, una maneno mafupi, mengi yanatosha kukutambulisha tabia yako ikoje
Acha ukorofiGENTAMYCINE ni mwalimu wa tuition kwenye tuition Center Bunda vijijini
Signal Strength "Sifuri"Mtumishi wa Bwana na wanaomtumikia Bwana Mtumishi, ushaelewa vizuri?
Mtumishi wa Bwana, Bwana Mtumishi na wanaomtumikia Bwana Mtumishi, hapo signal itakua imekamataSignal Strength "Sifuri"
Signal Quality "Mbili".
Chaneli haishiki.
Wewe mpenda pombe aina ya c/lite.Naomba mtu mmoja apitie ninayoandika then aniambie mi ni mtu wa namna gn na pia na haiba ipi
Akiwa sahihi 80% aniruhusu nim-PM apate muamala wa Moja baridi Moja moto
🙏Npo serious
Msichana msomi, smart na unayejipenda Ila unapenda Sana waume za wenzio na pombe Kali.Na Mimi nna tabia gan?
Hapo kwa Mwashambwa umenikoshaa, huyo mtu wa kuita kila mtu tajiri hata wadogo zake mradi mkono uende kinywani.Kwa uandishi wa MTU utajua tabia zake. Mfano
Zero IQ Ni dogo mmoja bado bachelor, easy going, anacheka na kila mtu.
mrangi Ni mtu Alisha fanya kaziserikali baadae akaacha na kufanya shughuli zske. Anakaa mwananyamala na hupenda kuvaa chain zile Nene za silver.
FaizaFoxy huyu Ni mdada MTU mzima singo mum ana sura flani Kama anakaanga sumu. Anawachukia Sana wanawake warembo, anapenda Sana kusimanga wenzake.
Extrovert huyu hupenda kukaa kaunta awapo bar, hatongozi ma barmaid Ila anafurahi kuwaangalia hasa wenye vyura.
Lucas mwashambwa huyu Ni bonge la MTU Ila anapenda Sana bia za ofa. Ukimkuta bar hasa akiwa amekaa na watu wenye pesa na watoa ofa za bia utamkuta yeye ndio anaongea tu na kumsifia anayenunua bia.
Watu mmevurugwa,Msichana msomi, smart na unayejipenda Ila unapenda Sana waume za wenzio na pombe Kali.
True that. Kuna mifano hai kabisa...Inaweza kuwa kinyume chake;
1. Kuna watu wana mwandiko wa kimcharuko lkn maisha halisi ni watu sana.
2. Kuna miandiko ya kitumishi humu lkn deep down ni watu wa hovyo sana.
Usiuamini mwandiko.
Kuna watu katika maisha halisi wamenishangaza sana ni vitu viwili tofauti
Huyu umempatia sana,@Lucas mwashambwa huyu Ni bonge la MTU Ila anapenda Sana bia za ofa. Ukimkuta bar hasa akiwa amekaa na watu wenye pesa na watoa ofa za bia utamkuta yeye ndio anaongea tu na kumsifia anayenunua bia.
Kwa haraka haraka, una uwezo wa kuchambua mambo, Politics, michezo. N. K Una tatizo la chuki binafsi na waarabu 😀😀Naomba mtu mmoja apitie ninayoandika then aniambie mi ni mtu wa namna gn na pia na haiba ipi
Akiwa sahihi 80% aniruhusu nim-PM apate muamala wa Moja baridi Moja moto
🙏Npo serious