Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Wapendwa ss hivi nimewekewa limit na shemeji yenu ikifika saa 6 nilale haijalishi niko zone ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa Tz ikisomeka saa 00:00 kuchat mwisho, hivo kwaherini ndoa tamu [emoji12]
🤣🤣🤣🤣🤣Kunguru anafugika Kweli.?vina muda basi
 
Naomba mtu mmoja apitie ninayoandika then aniambie mi ni mtu wa namna gn na pia na haiba ipi
Akiwa sahihi 80% aniruhusu nim-PM apate muamala wa Moja baridi Moja moto

[emoji120]Npo serious
changamoto wakati mwingine ni kuwa: hata wewe mwenyewe hujiui ni mtu wa namna gani.

do you know yourself?
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.

Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua we ninani.

Kila member huwa ana hoja zake anazoweka katika majukwaa..

Wengine huweka hoja zao siasa, wengine hoja na mchanganyiko..

Kuna wanoweka hoja zao kidini yaani ukiingia huko ni yeye..

Njoo kwa mahusiano na mapenzi huko nako kuna watu huko..

Sasa kuna wale wa chit chat huko nao utawakuta wanajifurahisha zao...

Kifupi katika kupita huko lazima utamjua member yupi na anatabia Gani..

Tuambie uandishi wa member unaweza mjua tabia yake...

Tuambie member nani na anatabia ipi...

Kivumbi kinatimka
Mhhhhh!!
 
Wapendwa ss hivi nimewekewa limit na shemeji yenu ikifika saa 6 nilale haijalishi niko zone ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa Tz ikisomeka saa 00:00 kuchat mwisho, hivo kwaherini ndoa tamu [emoji12]
Ndoa wapi ww! Haya ntag location tukapate tuvitu vitu unalalaje saa sita na wakati bar......au bas
 
Huna lolote baya wewe!yaani naamini wewe ni just a normal person na sio kiwembe kama unavyotudanganya....Acha uongo mkuu🤣
Wee kama uanaamini hivyo who am i to argue against that.
Ila waulize tuu wale mademu wa jf ambao nilishapita nao kama hawaisomi namba kwa sasa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom