Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unajua nimekosa ajira kisa wee apo? Babu migambutii alishaniandalia sehem ya kujishikizaa, wee ndo ukavuruga kila kitu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF hatuhamiiii kamweee.

Thubutuuuuuu!!!! Mwenzio maua ya saa 4 analia uko kablockiwa mpk msg za kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila babu aje tumchachue tumemmiss kweli
Na wewe ulivyo na kg 2 angekunyoosha ungerudi nyonga zimekaza
 
Back
Top Bottom