Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

🤣🤣🤣🤣Wacha tu inyeshe tuone inapovuja.......achana na wapiga kelele kama kina mzab na washirika wake wanazongua sana hao hawafocus kabisa
Hali ya hewa na haya maneno yako🤣🤣
 
Mbona kwenye group letu la wadada private umeonekana wewe ni pasta?hujatongoza hata mmoja,,,ila Kuna wenzio ambao ni wapoleee wameshika number za juu sana hongera👍🤣🤣
Wewe huko kwenye group hawawezi funguka maana wanajua mtawasimanga..yaani kweli umempa mbususu yako mzabzab 🤣🤣🤣🤣
Njoo uonje utamu wa kibamia wewe
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.

Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua we ninani.

Kila member huwa ana hoja zake anazoweka katika majukwaa..

Wengine huweka hoja zao siasa, wengine hoja na mchanganyiko..

Kuna wanoweka hoja zao kidini yaani ukiingia huko ni yeye..

Njoo kwa mahusiano na mapenzi huko nako kuna watu huko..

Sasa kuna wale wa chit chat huko nao utawakuta wanajifurahisha zao...

Kifupi katika kupita huko lazima utamjua member yupi na anatabia Gani..

Tuambie uandishi wa member unaweza mjua tabia yake...

Tuambie member nani na anatabia ipi...

Kivumbi kinatimka
Unaelewa maana ya utambulisho batili?
 
Miss Donatila kwa uzoefu wangu ni kwamba maandishi ya mtu humu huwa yananiwezesha kujua huyu Mtu yako Vipi na anapitia situation gani katika maisha halisi nje ya Mtandao. Naweza kusema kilicho moyoni mwa mtu unaweza kukisoma usoni kwake au kwenye kuchangia mada mbalimbali humu JF. Sema Dada zetu wengi humu ni watu wa kujihami sana kwa tofauti na jinsi walivyo hasa kwa upande wa Muonekano waliopewa na muumba wetu.
 
Mimi naanza na To yeye,huyu ukimsoma hapa utasema ni Dada mmoja machachari sana ila kiuhalisia nahisi ni mtu mmoja mtaratibu sana,sio muongeaji sana,so hapa jf ndio sehemu ambayo anajiachia bila aibu wala kumuhofia mtu.
Yaani hujui kabisa kumsoma mtu kupitia uandishi wake 😹😹😹
 
Haupo peke yako; mpo wengi ila wengine wamejificha. You are the best kwa sababu wewe upo wazi. Mimi napenda sana watu ambao wako wazi.

Angalau namfahamu mtu humu jukwaani ambaye anaweza akawa yuko juu yako
Hakuna lolote,hao wenye story sijui za ulozi na uganga wengi wao ni wapigaji tu,hii ni Dunia ya Sayansi na teknolojia,enzi za huo ujinga ujinga zilishapita,

Wataendelea kuwaaminisha wajinga wajinga wasio jielewa tu.
 
Hakuna lolote,hao wenye story sijui za ulozi na uganga wengi wao ni wapigaji tu,hii ni Dunia ya Sayansi na teknolojia,enzi za huo ujinga ujinga zilishapita,

Wataendelea kuwaaminisha wajinga wajinga wasio jielewa tu.
How do you prove vitu kwenye Spritual Sayansi (SS) kwa kutumia Emperical Science (ES)?
You are arguing from the auspices of ES trying to ascertain and confirm things in SS; how possible is that?
Hizi ni sayansi mbili tofauti kabisa; wewe unawezaje kujua yaliyoko kwenye sayansi moja ambayo huiijui, kwa kutumia sayansi nyingine unayoijua, kuthibitisha mambo kwenye sayansi ile ambayo huijui? Usomi wa aina hii umeanza lini?
Kama tuseme ES ingekuwa na uwezo wa kuelezea mambo kwenye sayansi zingine zote tofauti na ES yenyewe, hayupo msomi mwenye akili timamu ambaye angeweza kwenda kwa mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom