Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Kwenye vikao vyenu mwambie huyo mrembo utamu wa kibamia.
Alafu kumbe mnatuwekea vikao nyie warembo.
Alafu nover ndio hiyoooo hatuoni dalili za kula wali mchafu jamani.
Msije mkazeekea nyumbani kama mawardat na rafiki yake Kelsea
😀😀Kikao gani bwana maishayang tu kikao tosha uhakika wa Milo 3 tu sina😂😂ubwabwa utakula usiwaze
 
Thubutuuuuuu!!!! Mwenzio maua ya saa 4 analia uko kablockiwa mpk msg za kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila babu aje tumchachue tumemmiss kweli
Na wewe ulivyo na kg 2 angekunyoosha ungerudi nyonga zimekaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ucnambiee uduguuu, sa unaninyimaje ubuyuu wa motoo hiviii?

Jaman had nomo text kablockiwa, akuuh sitaki.
Lol
 
Haiwezekani,tutanunua ugomvi [emoji23]
Na imagine hizo notification atazozikuta kesho Mjep [emoji1787][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atafurahii kuona mamsap wake nimemsamehee.
Alikua hali kushibaaa, woiiiih
 
Nakataa huwezi kumjua mtu tabia yake kwa kupitia anachoandika kama unabisha subiri uingie kwenye 18 ya tapeli ukidhani ni mtu smart na hapa jf ndo wamejaa hao
Wamejaa hadi vizee ,ni vitapeli sana kaeni chonjo
 
Back
Top Bottom